Alhamisi, 7 Machi 2019

Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | “Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote”


Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | “Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote”


    Mwenyezi Mungu anasema, “Kwa kweli, Mungu ni Bwana wa mambo yote. Yeye ndiye Mungu wa viumbe vyote. Yeye si Mungu wa Waisraeli pekee, na Yeye si Mungu wa Wayahudi pekee; Yeye ni Mungu wa viumbe vyote. … Kazi Yake ya awali ilifanywa Yudea, ndani ya eneo la Israeli; katika mataifa yasiyo ya Kiyahudi Hakufanya kazi yoyote ya uzinduzi wa enzi hata kidogo.

Jumatano, 6 Machi 2019

wimbo wa kuabudu | 115. Napaswa Kuufikiria Moyo wa Mungu

Nimebarikiwa kusikia sauti ya Mungu na kuletwa mbele Yake.
Kula na kunywa maneno ya Mungu, nimehudhuria karamu ya harusi ya Mwanakondoo na kuona kuonekana kwa Mungu.
Kupitia hukumu na utakaso wa Mungu ni uinuaji Wake.

Jumanne, 5 Machi 2019

Nyimbo za kuabudu | 53. Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu

Kwa kuwa tunatafuta nyayo za Mungu,
lazima tutafute, tutafute mapenzi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu.
Kwani palipo na maneno mapya ya Mungu,
pana sauti ya Mungu, sauti ya Mungu;

Jumatatu, 4 Machi 2019

Nyimbo za kuabudu | 318. Maana ya Kweli ya Imani kwa Mungu

I
Watu wengi sana wanaamini, lakini wachache sana wanaelewa maana ya imani katika Mungu,
kile wanachohitaji kufanya ili kwenda pamoja na moyo wa Mungu.
Wengi sana wanajua neno "Mungu," wanajua maneno kama "kazi ya Mungu,"
lakini hawamjui Yeye, wala kile Anachofanya kweli.
Sio ajabu imani yao ni pofu.

Jumapili, 3 Machi 2019

85. Maneno ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele

Maneno ya Mungu ni ukweli, yasiobadilika milele.
Mungu ndiye mtoaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.
Thamani na maana ya maneno Yake yanabainishwa na kiini chao,
sio kama mwanadamu anayakubali ama kuyatambua.