Ijumaa, 8 Machi 2019

Wimbo wa kuabudu | 276. Mungu Anatarajia Imani ya Kweli ya Mwanadamu

Mungu daima humchukulia mwanadamu kwa kiwango kikali.
Ikiwa uaminifu wako unakuja na masharti,
Hataki hiyo yako unayodai kuwa imani.
Mungu huwachukia watu wanaomdanganya kwa makusudi
na kumsihi kwa mahitaji. Mungu anamtaka mwanadamu awe mwaminifu
na si mwaminifu kwa mwingine ila Yeye,
kufanya mambo yote kwa ajili ya imani,
na kuthibitisha hilo neno moja: imani, imani.
II
Mungu anadharau maneno yote yaliyotiwa utamu
ambayo unatumia kumfanya Afurahi.
Kwa sababu Yeye daima hukutendea kwa uaminifu Wake,
Anakutaka umtendee kwa imani ya kweli.
Mungu anamtaka mwanadamu awe mwaminifu
na si mwaminifu kwa mwingine ila Yeye,
kufanya mambo yote kwa ajili ya imani,
na kuthibitisha hilo neno moja: imani, imani.
thibitisha hilo neno moja: imani,
kuthibitisha hilo neno moja: imani.
kutoka katika "Je, Wewe Ni Muumini wa Kweli wa Mungu?" katika Neno Laonekana katika Mwili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni