Jumatatu, 24 Septemba 2018

41. Asili ya Upendo wa Mungu Ni Nini?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, upendo wa Mungu

41. Asili ya Upendo wa Mungu Ni Nini?

Siqiu   Mji wa Suihua, Mkoa wa Heilongjiang
Wakati wowote ninapoona kifungu kinachofuata cha neno la Mungu, “Ikiwa daima umekuwa mwaminifu Kwangu na kunipenda, lakini unapitia mateso ya maradhi, misukosuko ya maisha, na kutelekezwa na marafiki na jamaa au kupitia maafa mengine yoyote maishani, basi, uaminifu na mapenzi yako Kwangu yataendelea kuwepo?” (“Tatizo Zito Sana: Usaliti (2)” katika Neno Laonekana katika Mwili).

Jumapili, 23 Septemba 2018

"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (2) - Je, Kuikubali Injili ya Kurudi kwa Pili kwa Yesu Kristo ni Uasi wa Dini?


"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (2) - Je, Kuikubali Injili ya Kurudi kwa Pili kwa Yesu Kristo ni Uasi wa Dini?

  Kwenye Biblia, Paulo alisema, "Nashangaa kwamba mmejiondoa upesi hivi kwake yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kuelekea injili nyingine" (Wagalatia 1:6). Wachungaji na wazee wa kanisa huyafasiri vibaya maneno haya ya Paulo na kuwashutumu watu wote wanaoikubali injili ya kurudi kwa pili kwa Bwana Yesu, wakisema kwamba huu ungekuwa uasi wa dini na kwamba ungekuwa kumsaliti Bwana.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Injili,

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa

Yixin
Kijiji cha kishamba kilichojikokota kimaendeleo, wazazi wangu waliochoka kwa sababu ya kazi zao, maisha ya shida za kifedha … kumbukumbu hizi za huzuni zilitia alama kwa mawazo yangu machanga, zilikuwa ni hisia yangu ya kwanza ya “majaliwa.”

Jumamosi, 22 Septemba 2018

"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (1) - Tushughulikie Vipi Umeme wa Mashariki kwa Njia Inayolingana na Mapenzi ya Bwana?


"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (1) - Tushughulikie Vipi Umeme wa Mashariki kwa Njia Inayolingana na Mapenzi ya Bwana?

  Wakati watu wanaposhuhudia kwamba Umeme wa Mashariki ndiko kurudi kwa Bwana Yesu, waumini wengi wanahisi kwamba Umeme wa Mashariki ndiyo njia ya kweli, na wanafaa kulitafuta na kulichunguza kwa bidii ili kuisikia sauti ya Bwana. Wachungaji na wazee wa kanisa wa dini, hata hivyo, wanaifasiri vibaya Biblia ili kulipinga na kulishutumu Umeme wa Mashariki.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Moja

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Moja

Kuhusu shida zinazoibuka kanisani, usiwe na mashaka mengi. Kanisa linapojengwa haiwezekani kuepuka makosa, lakini usiwe na wasiwasi unapokabiliwa na shida hizo; kuwa mtulivu na makini. Sijawaambia hivyo? Omba Kwangu mara nyingi, na Nitakuonyesha kwa wazi nia Zangu. Kanisa ni moyo Wangu na ni lengo Langu la msingi, Nawezaje kutolipenda?

Ijumaa, 21 Septemba 2018

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu"


Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu"

  Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.