Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kukamilishwa-na-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kukamilishwa-na-Mungu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 25 Aprili 2019

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 9. Kuzing’uta Pingu za Roho

 Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 9. Kuzing’uta Pingu za Roho

Wu Wen Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan
Nilikuwa mtu dhaifu na mwenye tabia nyepesi kuhisi. Wakati sikumwamini Mungu, mara kwa mara ningejihisi mwenye huzuni na masikitiko kutokana na mambo yaliyokuja katika maisha. Kulikuwa na nyakati nyingi kama hizi, na siku zote nilihisi kwamba maisha yangu yalikuwa magumu; hapakuwa na furaha, hamkuwa na ridhisho moyoni mwangu ya kuzungumzia. Uchungu huu ulikuwa tu kama pingu zilizonifunga kabisa kila mara, zikinifanya niwe mwenye huzuni. Ilikuwa tu baada kumwamini Mwenyezi Mungu ndipo nilipata kiini cha matatizo ndani ya maneno ya Mungu na nikapata uhuru polepole.

Jumamosi, 22 Septemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Moja

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Moja

Kuhusu shida zinazoibuka kanisani, usiwe na mashaka mengi. Kanisa linapojengwa haiwezekani kuepuka makosa, lakini usiwe na wasiwasi unapokabiliwa na shida hizo; kuwa mtulivu na makini. Sijawaambia hivyo? Omba Kwangu mara nyingi, na Nitakuonyesha kwa wazi nia Zangu. Kanisa ni moyo Wangu na ni lengo Langu la msingi, Nawezaje kutolipenda?