Jumapili, 23 Septemba 2018

"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (2) - Je, Kuikubali Injili ya Kurudi kwa Pili kwa Yesu Kristo ni Uasi wa Dini?


"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (2) - Je, Kuikubali Injili ya Kurudi kwa Pili kwa Yesu Kristo ni Uasi wa Dini?

  Kwenye Biblia, Paulo alisema, "Nashangaa kwamba mmejiondoa upesi hivi kwake yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kuelekea injili nyingine" (Wagalatia 1:6). Wachungaji na wazee wa kanisa huyafasiri vibaya maneno haya ya Paulo na kuwashutumu watu wote wanaoikubali injili ya kurudi kwa pili kwa Bwana Yesu, wakisema kwamba huu ungekuwa uasi wa dini na kwamba ungekuwa kumsaliti Bwana. Baadhi ya waumini hivyo basi huikosa fursa ya kumkaribisha Bwana, kwa sababu wamedanganywa. Ni dhahiri kwamba kuupata ufahamu wazi wa maana ya kweli ya maandiko haya ni muhimu sana kwa sisi kukaribisha kurudi kwa Bwana. Hivyo, ni nini maana ya kweli ya fungu hili la Maandiko? Je, kuikubali injili ya kurudi kwa pili kwa Yesu Kristo ni uasi wa dini?
Kujua zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni