Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumwamini-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumwamini-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 4 Mei 2019

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo| 29. Kwa Nini Sijabadilika Baada ya Miaka Mingi ya Imani

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ukweli,

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 29. Kwa Nini Sijabadilika Baada ya Miaka Mingi ya Imani

Jinru Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan
Wakati ndugu wa kiume au wa kike alipoonyesha dosari zangu au hakusikiza kauli yangu ama sikuhisi kushawishika au nilibishana nao. Nilijutia vitendo vyangu baadaye, lakini nilipokabiliwa na mambo haya, sikuweza kujizuia mwenyewe kuifichua tabia yangu potovu. Nilisumbuliwa na hili kwa kina, na nikafikiri: Kwa nini maneno ya wengine yanaweza kuniaibisha hadi kukasirika? Na kwa nini sijabadilika hata kidogo licha ya miaka minane ya kumfuata Mungu?

Alhamisi, 21 Machi 2019

Kwa Kuelewea Hizi Hoja Nne, Uhusiano Wetu na Mungu Utakuwa Wa Karibu Daima

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Muumba

Kwa Kuelewea Hizi Hoja Nne, Uhusiano Wetu na Mungu Utakuwa Wa Karibu Daima

                                                  Na Xiaomo, China
Biblia inasema, “Kujeni karibu na Mungu, naye atakuja karibu nanyi” (Yakobo 4:8). Kama Wakristo, ni kwa kumkaribia Mungu tu na kuwa na ushirikiano halisi na Mungu ndiyo tunaweza kudumisha uhusiano wa kawaida na Mungu na kupata kazi ya Roho Mtakatifu. Ni kama tu watu wawili wanaoshirikiana, ambao wanaweza tu kuendeleza uhusiano wao wa karibu kwa muda mrefu kwa kuwa wazi zaidi kwa kila mmoja, kuwasiliana zaidi wanapokumbana na masuala, na kwa kuelewawana na kuheshimiana.

Jumapili, 23 Septemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Injili,

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa

Yixin
Kijiji cha kishamba kilichojikokota kimaendeleo, wazazi wangu waliochoka kwa sababu ya kazi zao, maisha ya shida za kifedha … kumbukumbu hizi za huzuni zilitia alama kwa mawazo yangu machanga, zilikuwa ni hisia yangu ya kwanza ya “majaliwa.”

Jumatano, 21 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Njia… (5)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki | Njia… (5)

Mwenyezi Mungu alisema, Ilikuwa kwamba hakuna aliyejua Roho Mtakatifu, na hasa hawakujua njia ya Roho Mtakatifu ilikuwa gani. Ndio maana watu kila mara walifanya upumbavu mbele ya Mungu. Inaweza kusemwa kwamba karibu watu wote wanaoamini katika Mungu hawamjui Roho, lakini tu wana aina ya imani iliyochanganyikiwa. Ni wazi kutokana na hili kwamba watu hawamfahamu Mungu, na hata ingawa wanasema wanaamini katika Yeye, kuhusu kiini chake, kulingana na matendo yao wanaamini katika wao wenyewe, sio Mungu.