Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Usafishaji. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Usafishaji. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 24 Septemba 2018

41. Asili ya Upendo wa Mungu Ni Nini?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, upendo wa Mungu

41. Asili ya Upendo wa Mungu Ni Nini?

Siqiu   Mji wa Suihua, Mkoa wa Heilongjiang
Wakati wowote ninapoona kifungu kinachofuata cha neno la Mungu, “Ikiwa daima umekuwa mwaminifu Kwangu na kunipenda, lakini unapitia mateso ya maradhi, misukosuko ya maisha, na kutelekezwa na marafiki na jamaa au kupitia maafa mengine yoyote maishani, basi, uaminifu na mapenzi yako Kwangu yataendelea kuwepo?” (“Tatizo Zito Sana: Usaliti (2)” katika Neno Laonekana katika Mwili).