Jumatano, 6 Machi 2019

wimbo wa kuabudu | 115. Napaswa Kuufikiria Moyo wa Mungu

Nimebarikiwa kusikia sauti ya Mungu na kuletwa mbele Yake.
Kula na kunywa maneno ya Mungu, nimehudhuria karamu ya harusi ya Mwanakondoo na kuona kuonekana kwa Mungu.
Kupitia hukumu na utakaso wa Mungu ni uinuaji Wake.

Jumanne, 5 Machi 2019

Nyimbo za kuabudu | 53. Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu

Kwa kuwa tunatafuta nyayo za Mungu,
lazima tutafute, tutafute mapenzi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu.
Kwani palipo na maneno mapya ya Mungu,
pana sauti ya Mungu, sauti ya Mungu;

Jumatatu, 4 Machi 2019

Nyimbo za kuabudu | 318. Maana ya Kweli ya Imani kwa Mungu

I
Watu wengi sana wanaamini, lakini wachache sana wanaelewa maana ya imani katika Mungu,
kile wanachohitaji kufanya ili kwenda pamoja na moyo wa Mungu.
Wengi sana wanajua neno "Mungu," wanajua maneno kama "kazi ya Mungu,"
lakini hawamjui Yeye, wala kile Anachofanya kweli.
Sio ajabu imani yao ni pofu.

Jumapili, 3 Machi 2019

85. Maneno ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele

Maneno ya Mungu ni ukweli, yasiobadilika milele.
Mungu ndiye mtoaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.
Thamani na maana ya maneno Yake yanabainishwa na kiini chao,
sio kama mwanadamu anayakubali ama kuyatambua.

Ijumaa, 1 Machi 2019

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | “Kazi ya Kueneza Injili Ni Kazi ya Kuokoa Binadamu Pia”


Maneno ya Mungu kwa makanisa | “Kazi ya Kueneza Injili Ni Kazi ya Kuokoa Binadamu Pia”
    Mwenyezi Mungu anasema, “Ili kwamba katika enzi hii ya mwisho jina Langu litatukuzwa miongoni mwa Mataifa, kwamba matendo Yangu yataonekana na mataifa mengine na wataniita Mwenyezi kwa sababu ya matendo Yangu, na kwamba maneno Yangu yatatimika karibuni.