Jumatatu, 25 Februari 2019

33. Mungu Mwenye Mwili Awaongoza Binadamu Kuingia Katika Enzi Mpya

Mungu mwenye mwili, Anaitamatisha enzi
wakati tu mgongo wa Yehova ulionekana.
Pia Anahitimisha enzi ya imani
ambapo kutokuwa yakini kwa Mungu kulifikiriwa.
Kazi ya Mungu wa mwisho mwenye mwili
humleta mwanadamu katika enzi ya utendaji zaidi.

Jumapili, 24 Februari 2019

Nyimbo za Kusifu na Kuabudu 2019 “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja” | Praise and Thank God's Love


Nyimbo za Kusifu na Kuabudu 2019 “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja” | Praise and Thank God's Love

    Uangalie ufalme wa Mungu, ambako Mungu anatawala juu ya yote.
Kutoka wakati uumbaji ulipoanza mpaka siku ya sasa,
wana wa Mungu waliongozwa wakipitia taabu.
Katika milima na mabonde walienda. Lakini sasa katika nuru Yake wanakaa.

Jumamosi, 23 Februari 2019

Nyimbo za kuabudu | 66. Mwenyezi Mungu Ametushinda

I
Mwenyezi Mungu, Mungu wa vitendo!
Unaonyesha ukweli na kutushinda.
Maneno Yako yanatufunua bila huruma na kutuhukumu kwa haki,
ili kwamba tujue ukweli wa upotovu wetu.
Kwamba sasa tunaweza kujichukia na kumtelekeza Shetani
ni kwa wokovu Wako kabisa. Tunakupa shukurani.

Ijumaa, 22 Februari 2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Nne


Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Nne

    Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Maudhui ya video hii:
Kutubu kwa Kweli Ndani ya Mioyo ya Waninawi Kunawapa Rehema ya Mungu na Kwabadilisha Hatima Zao Wenyewe

Alhamisi, 21 Februari 2019

Neno la Mungu | Jinsi Hatua ya Pili ya Kazi ya Ushindi Huzaa Matunda

Mwenyezi Mungu anasema:“ Hatua ya kazi ya watenda-huduma ni hatua ya kwanza ya kazi ya ushindi; kwa sasa hii ni hatua ya pili ya kazi ya ushindi. Kwa nini ukamilifu unajadiliwa katika kazi ya ushindi? Ni kuujenga msingi kwa ajili ya siku za baadaye—kwa sasa hii ni hatua ya mwisho katika kazi ya kushinda, na baada ya hii, kazi ya kuwakamilisha watu itaanza rasmi wakati watakuwa wanapitia dhiki kuu.

Jumatano, 20 Februari 2019

Maneno ya Mungu | Ni Lazima Wale Wanaofaa Kukamilishwa Wapitie Usafishaji

Mwenyezi Mungu anasema:" Kama unamwamini Mungu, ni lazima umtii Mungu, uweke ukweli katika vitendo na utimize wajibu wako wote. Zaidi ya hayo, ni lazima uelewe mambo unayopaswa kupitia. Ikiwa unapitia tu kushughulikiwa, kufundishwa nidhamu na hukumu, kama wewe unaweza tu kumfurahia Mungu, lakini huwezi kuhisi wakati Mungu anakufundisha nidhamu au kukushughulikia, hili halikubaliki. Labda katika wakati huu wa usafishaji unaweza kushikilia msimamo wako. Hii bado haitoshi; ni lazima uendelee mbele.