Jumatatu, 25 Februari 2019

33. Mungu Mwenye Mwili Awaongoza Binadamu Kuingia Katika Enzi Mpya

Mungu mwenye mwili, Anaitamatisha enzi
wakati tu mgongo wa Yehova ulionekana.
Pia Anahitimisha enzi ya imani
ambapo kutokuwa yakini kwa Mungu kulifikiriwa.
Kazi ya Mungu wa mwisho mwenye mwili
humleta mwanadamu katika enzi ya utendaji zaidi.
Kazi Anayofanya huwaleta binadamu wote
kwa wakati wa kupendeza na wa kweli zaidi.
Anatamatisha enzi ya udhahania,
Anatamatisha enzi ambapo mwanadamu
alitamani kuutafuta uso wa Mungu lakini hakuweza wakati huo.
Anatamatisha huduma ya mwanadamu kwa Shetani, mwanadamu anaongozwa hadi katika enzi mpya.
Yote haya yanafanikishwa na kazi ya Mungu katika mwili,
badala ya Roho wa Mungu pekee.
II
Yeye hahitimishi enzi ya sheria na mafundisho tu,
Anamwonyesha mwanadamu Mungu ambaye ni wa kweli,
Mungu ambaye ni wa kawaida, mwenye haki na mtakatifu,
ambaye anafungua mpango wa usimamizi,
ambaye anaonyesha mafumbo,
hatima ya binadamu,
aliyemuumba mwanadamu na hutamatisha kazi ya usimamizi,
ambaye amefichika kwa maelfu ya miaka.
Anatamatisha enzi ya udhahania,
Anatamatisha enzi ambapo mwanadamu
alitamani kuutafuta uso wa Mungu lakini hakuweza wakati huo.
Anatamatisha huduma ya mwanadamu kwa Shetani, mwanadamu anaongozwa hadi katika enzi mpya.
Yote haya yanafanikishwa na kazi ya Mungu katika mwili.
Ee, Anatamatisha enzi ya udhahania,
Anatamatisha enzi ambapo mwanadamu
alitamani kuutafuta uso wa Mungu lakini hakuweza wakati huo.
Anatamatisha huduma ya mwanadamu kwa Shetani, mwanadamu anaongozwa hadi katika enzi mpya.
Yote haya yanafanikihwa na kazi ya Mungu katika mwili.
Yote haya yanafanikihwa na kazi ya Mungu katika mwili,
badala ya Roho wa Mungu pekee.
Sikiliza zaidi: nyimbo za injili 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni