Jumatano, 19 Septemba 2018

80. Kujijua kwa Hakika kwa Kuuelewa Ukweli Tu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli

80. Kujijua kwa Hakika kwa Kuuelewa Ukweli Tu

Wenwen Mji wa Changchun, Mkoa wa Jilin
Kwa maoni yangu, daima nililidhani kwamba mradi matendo ya nje yalionekana ya kufaa ambapo watu hawangeweza kuona upotovu wowote, basi lilichukuliwa kuwa mabadiliko. Kwa hiyo, nilizingatia kwa namna ya kipekee matendo ya nje katika kila kitu nilichokifanya. Nilijali tu kuhusu kama matendo yangu yalikuwa sahihi au la, na mradi tabia zangu za nje na matendo yalikuwa ya maana, nilikuwa sawa. Nilipokabiliwa na upogolewaji, nilijali tu kama kulikuwa na kitu kibaya na matendo yangu.

Jumanne, 18 Septemba 2018

Filamu za Kikristo "Toka Nje ya Biblia" (2) - Je, Tunaweza Kupata Uzima wa Milele kwa Kushikilia Biblia?


Filamu za Kikristo "Toka Nje ya Biblia" (2) - Je, Tunaweza Kupata Uzima wa Milele kwa Kushikilia Biblia?

  Katika siku za mwisho Mwenyezi Mungu anafanya kazi yake ya hukumu na kuleta njia ya uzima wa milele, na ni kwa kukubali ukweli uliolezewa na Kristo siku zile za mwisho tunaweza kupata uzima wa milele. Hata hivyo wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini wanasema kwamba uzima upo katika Biblia, na ilimradi tu tuzingatie Biblia basi tunaweza pata uzima wa milele. Je, ni Biblia iliyo na uzima wa milele, ama ni Kristo?

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Tatu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Tatu

Katika nyumba Yangu, kulikuwapo wakati mmoja wale waliolisifu jina Langu takatifu, ambao walifanya kazi bila kuchoka ili utukufu Wangu duniani ungejaza anga. Kwa sababu ya hili, Nilifurahi sana, moyo Wangu ulijawa na furaha—lakini nani angeweza kufanya kazi badala Yangu, akiacha usingizi usiku na mchana?

Jumatatu, 17 Septemba 2018

Filamu za Kikristo "Toka Nje ya Biblia" (1) - Je, Ni Uzushi Kuondoka Kutoka Kwa Biblia?

Filamu za Kikristo "Toka Nje ya Biblia" (1) - Je, Ni Uzushi Kuondoka Kutoka Kwa Biblia?
   Wakati Bwana Yesu alkuwa akifanya kazi Yake katika Enzi ya Neema, akihubiri kwamba ufalme wa mbinguni umekaribia na kuwaleta watu katika njia ya toba, Mafarisayo Wayahudi walimhukumu Yeye, wakisema kwamba maneno na kazi Yake zilikuwa kinyume na sheria za Agano la Kale, eti kuwa zilienda zaidi ya Agano la Kale, na kuwa yalikuwa ni uzushi. 

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 28

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi MunguSura ya 28


Nilipokuja kutoka Zayuni, vitu vyote vilikuwa vimenisubiri, na Niliporudi Zayuni, Nilisalimiwa na wanadamu wote. Nilipokuja na kwenda, hatua Zangu hazikuwahi zuiliwa na vitu vilivyokuwa na uadui Kwangu, na kwa hivyo kazi Yangu iliendelea kwa utaratibu. Leo, Ninapokuja miongoni mwa viumbe vyote, vitu vyote vinanisalimu kwa kimya, kwa uoga mkuu kuwa Nitaondoka tena na Niondoe usaidizi kwao. 

Jumapili, 16 Septemba 2018

Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?

Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?

  Wang Yue alikuwa ni mhubiri katika kanisa la nyumbani nchini China. Kwa moyo wake wote alihubiri na kuchunga kanisa la Bwana. Lakina wakti kanisa lake lilipoendelea kuwa tupu zaidi, alpatwa na wasiwasi lakini hangeweza kufanya chochote kulihusu. Alkiwa amepotea katika mateso na kushangazwa, yeye kwa bahati nzuri alikuja kukubali injili ya ufalme wa Mwenyezi Mungu. Alipofurahia utele wa neno la Mungu, yeye alielewa kwa kina upana wa wokovu wa Mungu. Hii ilifanya mateso na kudhoofika kwa kukosa kutwaliwa na Mungu na kuanguka katika giza iwe ya ukweli zaidi kwake.