Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo tabia ya Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo tabia ya Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 17 Septemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 28

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi MunguSura ya 28


Nilipokuja kutoka Zayuni, vitu vyote vilikuwa vimenisubiri, na Niliporudi Zayuni, Nilisalimiwa na wanadamu wote. Nilipokuja na kwenda, hatua Zangu hazikuwahi zuiliwa na vitu vilivyokuwa na uadui Kwangu, na kwa hivyo kazi Yangu iliendelea kwa utaratibu. Leo, Ninapokuja miongoni mwa viumbe vyote, vitu vyote vinanisalimu kwa kimya, kwa uoga mkuu kuwa Nitaondoka tena na Niondoe usaidizi kwao.