Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo uzima-wa-milele. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo uzima-wa-milele. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 8 Aprili 2019

Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma

Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma

Kutoka Mashariki ya ulimwengu (Mashariki ... Mashariki ...), mwale wa mwanga unatokea (mwanga ... mwanga ...), ukiangaza njia yote kwenda magharibi. Mwana wa Adamu ameshuka duniani. Mwokozi amerejea, Yeye ni Mwenyezi Mungu. Akionyesha ukweli, Ameanzisha enzi mpya. Mwana wa Adamu ameonekana. (Siyo?) Mungu amekuja. (Eh!)

Alhamisi, 4 Aprili 2019

“Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele”

Matamshi ya Mungu | “Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele”

Mwenyezi Mungu anasema, “Kristo wa siku za mwisho huleta uzima, na huleta kudumu kwa njia ya kweli na ya milele. Ukweli huu ni njia ambayo binadamu atapata uzima, na njia pekee ambayo mtu atamjua Mungu na kuidhinishwa na Mungu. Kama hutatafuta njia ya maisha inayotolewa na Kristo wa siku za mwisho, basi kamwe hutapata kibali cha Yesu, na kamwe hutastahili kuingia lango la ufalme wa mbinguni, maana wewe ni kikaragosi na mfungwa wa historia.

Ijumaa, 12 Oktoba 2018

Sura ya 1 Lazima Ujue Kwamba Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Ambaye Aliumba Mbingu na Dunia na Kila kitu Ndani Yao

3. Wokovu Unawezekana Tu Kupitia Imani kwa Mwenyezi Mungu.

Maneno Husika ya Mungu:
Yesu Alipokuja katika ulimwengu wa mwanadamu, Alileta Enzi ya Neema na Akatamatisha Enzi ya Sheria. Wakati wa siku za mwisho, Mungu kwa mara nyingine Alipata mwili, na Alipopata mwili mara hii, Alikamilisha Enzi ya Neema na Akaleta Enzi ya Ufalme. Wale wote wanaokubali kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili wataongozwa mpaka Enzi ya Ufalme, na wataweza kukubali kibinafsi uongozi wa Mungu.

Jumanne, 18 Septemba 2018

Filamu za Kikristo "Toka Nje ya Biblia" (2) - Je, Tunaweza Kupata Uzima wa Milele kwa Kushikilia Biblia?


Filamu za Kikristo "Toka Nje ya Biblia" (2) - Je, Tunaweza Kupata Uzima wa Milele kwa Kushikilia Biblia?

  Katika siku za mwisho Mwenyezi Mungu anafanya kazi yake ya hukumu na kuleta njia ya uzima wa milele, na ni kwa kukubali ukweli uliolezewa na Kristo siku zile za mwisho tunaweza kupata uzima wa milele. Hata hivyo wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini wanasema kwamba uzima upo katika Biblia, na ilimradi tu tuzingatie Biblia basi tunaweza pata uzima wa milele. Je, ni Biblia iliyo na uzima wa milele, ama ni Kristo?

Jumatatu, 20 Novemba 2017

Ni Kristo Wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Ni Kristo Wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele

Mwenyezi Mungu alisema, Njia ya maisha si kitu ambacho kinaweza kumilikiwa na mtu yeyote tu, wala hakipatikani kwa urahisi na wote. Hiyo ni kwa sababu maisha yanaweza kuja tu kutoka kwa Mungu, ambayo ni kusema, Mungu Mwenyewe tu ndiye Anamiliki mali ya maisha, hakuna njia ya maisha bila Mungu Mwenyewe, na hivyo Mungu tu ndiye chanzo cha uzima, na kijito cha maji ya uzima kinachotiririka nyakati zote.