Jumamosi, 14 Julai 2018

2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Injili, Umeme wa Mashariki

2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri

Xiaoxiao Jijini Xuzhou, Mkoani Jiangsu
Kwa sababu ya mahitaji ya kazi ya kanisa, nilihamishwa mpaka mahali pengine ili kutimiza wajibu wangu. Wakati huo, kazi ya injili mahali pale ilikuwa katika hali duni, na hali ya akina kaka na dada kwa kawaida haikuwa nzuri. Lakini kwa kuwa nilikuwa nimeguswa na Roho Mtakatifu, bado nilijitwisha kila kitu nilichoaminiwa nacho kwa matumaini kamili.

Ijumaa, 13 Julai 2018

Tofauti kati ya mtumishi mzuri na mtumishi mwovu ni ipi❓


Tofauti kati ya mtumishi mzuri na mtumishi mwovu ni ipi❓ 📚Mungu alisema, "Wanaomhudumia Mungu wanapaswa kuwa marafiki...



Mungu alisema, "Wanaomhudumia Mungu wanapaswa kuwa marafiki wema wa Mungu, wanapaswa kupendwa na Mungu, na kuwa na uaminifu wa hali ya juu kwa Mungu. Bila kujali iwapo unatenda bila kuonekana na watu, au mbele ya watu, unaweza kupata furaha ya Mungu mbele za Mungu, unaweza kusimama imara mbele za Mungu, na bila kujali jinsi watu wengine wanavyokutendea, wewe huifuata njia yako mwenyewe kila mara, na kuushughulikia kwa makini mzigo wa Mungu.

Alhamisi, 12 Julai 2018

Zingatia Majaliwa ya Binadamu Nyimbo za Maneno ya Mungu





Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote: Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake; mzingatie hatima ya wanadamu; mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa, ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu, kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova, kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni. Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha. Ni tu kwa kusikiza neno Lake na kumuandama, ndio nyayo Zake zinaweza kufuatwa na ahadi pokewa. Wengine wote watapata angamizwa, na kupokea adhabu wanayostahili. Mungu awahimiza makabila yote mataifa na nyanja zote: Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake; mzingatie hatima ya wanadamu. Zingatia hatima ya wanadamu wote u-u-u-u-uh! kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Yaliyopendekezwa: Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumatano, 11 Julai 2018

(Luka 12:40) "Nanyi jiwekeni tayari, kwa kuwa saa msiyodhani ndipo atakapokuja Mwana wa Adamu."


(Luka 12:40) "Nanyi jiwekeni tayari, kwa kuwa saa msiyodhani ndipo atakapokuja Mwana wa Adamu." 📚Mungu alisema, "Kuna...
Kanisa la Mwenyezi Mungu 发布于 2018年7月10日周二
📚Mungu alisema, "Kuna wale ambao husema kwamba Mungu mwenyewe Alisema kuwa Atawasili kwa wingu. Ni ukweli kuwa Mungu mwenyewe Alisema hivyo, lakini, je, wajua kuwa siri za Mungu haziwezi kueleweka na mwanadamu? Je, unajua kuwa maneno ya Mungu hayawezi kuelezwa na mwanadamu? Na wewe una hakika kuwa ulipewa nuru na kuangaziwa na Roho Mtakatifu? Je, Roho Mtakatifu Alikuonyesha moja kwa moja kwa namna hii?

Jumanne, 10 Julai 2018

2 Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki Nyimbo za Maneno ya Mungu







I Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga. Mungu atawaacha wote wanaotafuta kuuona mwanga tena na utukufu Aliokuwa nao katika Israeli, kuona kwamba Mungu tayari ameshuka chini juu ya wingu jeupe miongoni mwa watu, na kuona mawingu mengi meupe, na kuona vishada vya matunda, kumwona Yehova Mungu wa Israeli, Mungu wa Israeli, kumwona Mkuu wa Wayahudi, kumwona Masihi Aliyengojewa, na kuonekana kamili kwa Yeye aliyeteswa na wafalme katika enzi zote.

Jumamosi, 7 Julai 2018

Mwenyezi Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

Mwenyezi Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha

Ndugu wawili wa kawaida, Beijing
Agosti 15, 2012
Julai 21, mwaka wa 2012 ilikuwa siku isiyosahaulika sana kwangu, pamoja na kuwa siku muhimu zaidi ya maisha yangu.
Siku hiyo, mvua kubwa ilikuwa ikinyesha katika Wilaya ya Fangshan jijini Beijing—ilikuwa kubwa kuliko yoyote iliyowahi kuonekana pale katika miaka sitini na mmoja. Muda mfupi baada ya saa 4 jioni, nilitoka nje mtaani ili kuangalia na nikaona kuwa maji yalikuwa kila mahali.