Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo nyimbo-za-injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo nyimbo-za-injili. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 10 Agosti 2018

Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu

Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu
I
Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
Amekuwa akifichua kwao
Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho, bila kukoma, kila wakati.
Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
Mungu huzungumza na kufanya kazi ili kuonyesha tabia Yake na kiini.

Alhamisi, 12 Julai 2018

Zingatia Majaliwa ya Binadamu Nyimbo za Maneno ya Mungu





Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote: Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake; mzingatie hatima ya wanadamu; mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa, ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu, kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova, kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni. Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha. Ni tu kwa kusikiza neno Lake na kumuandama, ndio nyayo Zake zinaweza kufuatwa na ahadi pokewa. Wengine wote watapata angamizwa, na kupokea adhabu wanayostahili. Mungu awahimiza makabila yote mataifa na nyanja zote: Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake; mzingatie hatima ya wanadamu. Zingatia hatima ya wanadamu wote u-u-u-u-uh! kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Yaliyopendekezwa: Kanisa la Mwenyezi Mungu