Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Baraka-za-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Baraka-za-Mungu. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 13 Julai 2018

Tofauti kati ya mtumishi mzuri na mtumishi mwovu ni ipi❓


Tofauti kati ya mtumishi mzuri na mtumishi mwovu ni ipi❓ 📚Mungu alisema, "Wanaomhudumia Mungu wanapaswa kuwa marafiki...



Mungu alisema, "Wanaomhudumia Mungu wanapaswa kuwa marafiki wema wa Mungu, wanapaswa kupendwa na Mungu, na kuwa na uaminifu wa hali ya juu kwa Mungu. Bila kujali iwapo unatenda bila kuonekana na watu, au mbele ya watu, unaweza kupata furaha ya Mungu mbele za Mungu, unaweza kusimama imara mbele za Mungu, na bila kujali jinsi watu wengine wanavyokutendea, wewe huifuata njia yako mwenyewe kila mara, na kuushughulikia kwa makini mzigo wa Mungu.

Jumamosi, 14 Aprili 2018

2. Mungu Hutumia Matamshi Yake Kuanzisha Agano na Binadamu.


Matamshi ya Mwenyezi Mungu2. Mungu Hutumia Matamshi Yake Kuanzisha Agano na Binadamu.

2. Mungu Hutumia Matamshi Yake Kuanzisha Agano na Binadamu.
(Mwa 9:11-13) Na Nitalithibitisha agano langu nanyi, wala kila chenye mwili hakitafutwa tena kwa maji ya gharika; wala hakutakuwa tena gharika kuiharibu nchi. Na Mungu akasema, Hii ndiyo ishara ya agano Ninalofanya kati yangu na nyinyi na kila kiumbe hai kilicho pamoja nanyi, kwa vizazi vyote mpaka milele: Mimi Nauweka upinde wangu mawinguni, na utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi.

Baada ya Kuumba Viumbe Vyote, Mamlaka ya Muumba Yanathibitishwa na Kuonyeshwa kwa Mara Nyingine Tena Kwenye “Agano la Upinde wa Mvua”