Jumapili, 10 Machi 2019

Maneno ya Mungu | “Mnapaswa Kuzingatia Matendo Yenu”


Maneno ya Mungu | “Mnapaswa Kuzingatia Matendo Yenu”

    Mwenyezi Mungu anasema, “Katika maisha yenu ya kila siku, mnaishi katika hali na mazingira yasiyo na ukweli ama fahamu nzuri. Hamna rasilimali ya uwepo na pia hamna msingi wa Kunijua au kujua ukweli. Imani yenu imejengwa tu juu ya ujasiri usio dhahiri au kwenye ibada za kidini na ujuzi kulingana na mafundisho ya kidini kabisa. Kila siku Ninatazama mienendo yenu na kuchunguza nia yenu na matunda yenu maovu.

Jumamosi, 9 Machi 2019

Wimbo wa dini | 60. Wimbo wa Onyo Jema

Kristo ni mshindi. Kristo ni mshindi.
I
Kwa kumfuata Mungu na kupata ukweli, unaitembea njia ya uzima.
Kwa kutafuta teolojia na kujadili nadharia, unawadhuru wengine na wewe mwenyewe. Kuhubiri mafundisho na kushikilia sheria kunaonyesha kwamba huna uhalisi. Kwa kutoa wito kwa sauti na kutotenda, unamdanganya Mungu waziwazi.

Alhamisi, 7 Machi 2019

Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | “Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote”


Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | “Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote”


    Mwenyezi Mungu anasema, “Kwa kweli, Mungu ni Bwana wa mambo yote. Yeye ndiye Mungu wa viumbe vyote. Yeye si Mungu wa Waisraeli pekee, na Yeye si Mungu wa Wayahudi pekee; Yeye ni Mungu wa viumbe vyote. … Kazi Yake ya awali ilifanywa Yudea, ndani ya eneo la Israeli; katika mataifa yasiyo ya Kiyahudi Hakufanya kazi yoyote ya uzinduzi wa enzi hata kidogo.

Jumatano, 6 Machi 2019

wimbo wa kuabudu | 115. Napaswa Kuufikiria Moyo wa Mungu

Nimebarikiwa kusikia sauti ya Mungu na kuletwa mbele Yake.
Kula na kunywa maneno ya Mungu, nimehudhuria karamu ya harusi ya Mwanakondoo na kuona kuonekana kwa Mungu.
Kupitia hukumu na utakaso wa Mungu ni uinuaji Wake.

Jumanne, 5 Machi 2019

Nyimbo za kuabudu | 53. Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu

Kwa kuwa tunatafuta nyayo za Mungu,
lazima tutafute, tutafute mapenzi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu.
Kwani palipo na maneno mapya ya Mungu,
pana sauti ya Mungu, sauti ya Mungu;