328. Mungu Anafanikisha Vyote Katika Siku za Mwisho Hasa kwa Maneno
I
Katika siku za mwisho ambapo Mungu anakuwa mwili,
Yeye hutumia neno hasa kufichua na kukamilisha kila kitu.
Ni katika maneno Yake tu ndiyo unaweza kuona
kile Alicho, Yeye ni Mungu Mwenyewe.
Mungu mwenye mwili hafanyi kazi nyingine yoyote
ila kunena maneno.