Jumatatu, 24 Desemba 2018

328. Mungu Anafanikisha Vyote Katika Siku za Mwisho Hasa kwa Maneno

328. Mungu Anafanikisha Vyote Katika Siku za Mwisho Hasa kwa Maneno

I
Katika siku za mwisho ambapo Mungu anakuwa mwili,
Yeye hutumia neno hasa kufichua na kukamilisha kila kitu.
Ni katika maneno Yake tu ndiyo unaweza kuona
kile Alicho, Yeye ni Mungu Mwenyewe.
Mungu mwenye mwili hafanyi kazi nyingine yoyote
ila kunena maneno.
Hakuna haja ya ukweli, maneno sasa yatatosha.
Mungu amekuja duniani katika siku za mwisho
kutekeleza huduma ya neno.
Ili mwanadamu amjue, aone kile Alicho,
hekima Yake na matendo Yake yote ya ajabu kutoka kwa neno Lake.
II
Katika siku zijazo, neno Lake litakuja juu ya
kila dini na kikundi,
kila taifa na dhehebu.
Mungu hutumia neno kushinda
na kuwafanya wote kuona mamlaka na uwezo wake.
Hivyo leo, unakumbana tu na neno la Mungu.
Katika Enzi ya Ufalme,
Mungu hasa hutumia neno kuwashinda watu wote.
Mungu amekuja duniani katika siku za mwisho
kutekeleza huduma ya neno.
Ili mwanadamu amjue, aone kile Alicho,
hekima Yake na matendo Yake yote ya ajabu kutoka kwa neno Lake.
III
Katika siku ya utukufu wa Mungu, maneno ya Mungu yataonyesha uwezo na mamlaka yake.
Tangu kabla ya enzi hadi sasa,
maneno Yake yote yatatimizwa.
Ni kwa njia hii, ndiyo utukufu utakuwa kwa Mungu duniani.
Kwa hiyo, kwa maneno mengine,
maneno Yake yatatawala duniani milele na milele.
Katika Enzi ya Ufalme,
Mungu hasa hutumia neno kuwashinda watu wote.
Mungu amekuja duniani katika siku za mwisho
kutekeleza huduma ya neno.
Ili mwanadamu amjue, aone kile Alicho,
hekima Yake na matendo Yake yote ya ajabu kutoka kwa neno Lake.
IV
Waovu wote wameadibiwa na maneno Yake,
wenye haki wote watabarikiwa.
Vilivyoanzishwa vyote, vimekamilishwa na maneno Yake,
bila ya haja ya ishara na maajabu.
Yote yatatimizwa na maneno Yake,
na maneno Yake yatatoa ukweli.
Mungu amekuja duniani katika siku za mwisho
kutekeleza huduma ya neno.
Ili mwanadamu amjue, aone kile Alicho,
hekima Yake na matendo Yake yote ya ajabu kutoka kwa neno Lake.
kutoka katika "Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu" na "Ufalme wa Milenia Umewasili" katika Neno Laonekana katika Mwili
Tazama Zaidi: Kwaya za Injili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni