Swahili Christian Video "Mazungumzo" (4): Kuitii Serikali Inayotawala Sio Sawa na Kumtii Mungu
Ili kumdanganya na kumjaribu Mkristo mmoja kumtelekeza Mungu, CCP kilimwita mchungaji mmoja wa Kanisa la Utatu kumtia kasumba, na Mkristo huyu na mchungaji wakazua mjadala mzuri juu ya maneno ya Paulo: "Acha kila nafsi itii mamlaka ya juu zaidi.
Katika kila kipindi cha wakati, Mungu ataanza kazi mpya, na katika kila kipindi, patakuwepo na mwanzo mpya kwa mwanadamu. Laiti mwanadamu angeshikilia ukweli kwamba "Yehova ni Mungu" na "Yesu ni Kristo," ukweli ambao unazingatiwa kwa kipindi kimoja, basi mwanadamu hataweza kwenda sambamba na kazi ya Roho Mtakatifu, na daima hataweza kupokea kazi ya Roho Mtakatifu. Bila kujali jinsi Mungu anavyofanya, mwanadamu anafaa kufuata bila shaka lolote, na afuate kwa ukaribu.Kwa jinsi hii basi itakuwaje mwanadamu aondolewe na Roho Mtakatifu?