Swahili Christian Video "Mazungumzo" (4): Kuitii Serikali Inayotawala Sio Sawa na Kumtii Mungu
Ili kumdanganya na kumjaribu Mkristo mmoja kumtelekeza Mungu, CCP kilimwita mchungaji mmoja wa Kanisa la Utatu kumtia kasumba, na Mkristo huyu na mchungaji wakazua mjadala mzuri juu ya maneno ya Paulo: "Acha kila nafsi itii mamlaka ya juu zaidi.
Kwani hakuna mamlaka isipokuwa ya Mungu: mamlaka yaliyoko yameamriwa na Mungu" (Warumi 13:1). Fasiri zao tofauti ni zipi za maneno haya? Mchungaji wa Utatu yuko chini ya CCP na huchukua njia ya Kanisa la Utatu—kwa kweli ni kusudi gani la siri liko hapo? Mkristo atakanaje hoja hii ya mchungaji "kuwa chini ya mamlaka ya juu"?
Kujua zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni