Ijumaa, 28 Septemba 2018

213. Wale Ambao Mungu Atawaokoa ni wa Kwanza Kabisa Moyoni Mwake

213. Wale Ambao Mungu Atawaokoa ni wa Kwanza Kabisa Moyoni Mwake

I
Kazi ya Mungu ya kuokoa ni muhimu vipi,
muhimu zaidi kuliko vitu vingine vyote Kwake.
Kwa mipango na mapenzi yaliyokusudiwa, sio mawazo na maneno tu,
Anafanya kila kitu kwa wanadamu wote.
Oh ni muhimu kiasi gani, kazi ya Mungu ya kuokoa, kwa ajili ya mwanadamu na Yeye Mwenyewe. 

Alhamisi, 27 Septemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Kwanza

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Kwanza

Je, wale wanaoshuhudia maneno Yangu huyakubali kwa kweli? Je, mnanijua kwa kweli? Mmejifunza utiifu kweli? Ninyi hutumia rasilimali kwa ajili Yangu kwa uaminifu? Mmekuwa na ushuhuda thabiti, usiokubali kushindwa Kwangu mlipokabiliwa na joka kuu jekundu? Je, moyo wenu wa ibada hulifedhehesha kweli joka kuu jekundu? Ni kupitia tu kwa jaribio la maneno Yangu ndipo Naweza kutimiza lengo Langu la kulitakasa kanisa na kuwachagua wale wanaonipenda Mimi kweli.

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (3) - Je, Hakuna Maneno au Kazi ya Mungu Nje ya Biblia?


Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (3) - Je, Hakuna Maneno au Kazi ya Mungu Nje ya Biblia?

Watu wengi katika ulimwengu wa kidini wanasadiki kwamba maneno yote ya Mungu yako ndani ya Biblia, na chochote kilicho nje ya Biblia hakina kazi Yake na maneno. Hawatafuti nje ya Biblia matamko Yake katika kurudi Kwake.

Jumatano, 26 Septemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 77. Nilifurahia karamu kubwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, hukumu, upendo wa MunguKanisa la Mwenyezi Mungu | 77. Nilifurahia karamu kubwa

Xinwei    Mkoa wa Zhejiang
Juni 25 na 26 zilikuwa siku zisizohaulika. Eneo letu la Zhejiang lilipata tukio kubwa, viongozi wengi na wafanyakazi wa eneo wakiwa wamekamatwa na joka kubwa jekundu. Ni wachache wetu tu tuliokimbia bila kuumia na, mioyo yetu ikiwa imejaa shukrani, tulikula kiapo cha siri kwa Mungu: kushirikiana vizuri na kazi iliyokuwa ifuate. Kufuatia hilo tulianza kazi yenye msisimko na shughuli nyingi ya kushughulika na matokeo.

Jumanne, 25 Septemba 2018

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kufundisha Watoto Wangu (II)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ushuhuda

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kufundisha Watoto Wangu (II)


Xiaoxue, Malesia
Siku moja baada ya mlo mkuu wa siku, nilimfundisha mwanangu mvulana mkubwa jinsi ya kusoma Kichina—maneno rahisi tu, “Mbinguni, dunia, watu, na, dunia, baba, mama….” Nilimfundisha mara chache hasa, lakini bado hakuweza kuandika. Angeandika neno la kwanza na kisha kusahau lililofuata. Hasira ndani yangu ilipanda, na kunyakua rula iliyokuwa juu ya meza na kumgonga mara kadhaa. Nilimpigia kelele kwa sauti kubwa: “Wewe ni mpumbavu jinsi gani!

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, maombi

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)


Xiaoxue, Malesia
Nina wana wawili wa kiume na wameachana na mwaka mmoja. Ili kuwalea kuwa watu waliostaarabika, wenye tabia nzuri, watu wema ambao wataweza watajijengea jina katika jamii na kufanikiwa, walipokuwa na umri wa miaka miwili, nilijadiliana na mume wangu juu ya kuwatafutia shule nzuri ya chekechea. Baada ya ziara kadhaa, maulizo na kulinganisha, tulichagua shule ya chekechea ya Kiingereza kwa sababu waliweka umuhimu juu ya ubora wa tabia au akili na uwezo wa watoto,