Ijumaa, 28 Septemba 2018

213. Wale Ambao Mungu Atawaokoa ni wa Kwanza Kabisa Moyoni Mwake

213. Wale Ambao Mungu Atawaokoa ni wa Kwanza Kabisa Moyoni Mwake

I
Kazi ya Mungu ya kuokoa ni muhimu vipi,
muhimu zaidi kuliko vitu vingine vyote Kwake.
Kwa mipango na mapenzi yaliyokusudiwa, sio mawazo na maneno tu,
Anafanya kila kitu kwa wanadamu wote.
Oh ni muhimu kiasi gani, kazi ya Mungu ya kuokoa, kwa ajili ya mwanadamu na Yeye Mwenyewe.  Jinsi gani Mungu anajishughulisha, ni juhudi gani Anayofanya.
Anasimamia kazi Yake, anatawala vyote, watu wote.
Hajawahi kuonekana kabla, kwa gharama kubwa sana.
Katika kazi Yake, Mungu hufichua kwa wanadamu kidogo kidogo
Mungu na vyake, gharama ambayo amelipa, hekima, nguvu, tabia Yake yote.
Hivyo, katika ulimwengu wote, mbali na watu ambao Mungu analenga kuwasimamia na kuwaokoa,
hakujawahi kuwa na viumbe vyovyote karibu na Mungu hivyo,
ambao wana uhusiano wa karibu sana Naye.
Bila kujali ugumu wa kazi, bila kujali vikwazo,
bila kujali jinsi mwanadamu alivyo mdhaifu na muasi,
hakuna kitu kinachoweza kumzuia Mungu, hakuna kilicho kigumu sana, hakuna kilicho kingumu sana.
II
Mungu yu karibu kiasi gani, wa karibu sana
kwa wale Anaochagua kuwasimamia na kuwaokoa.
Katika ulimwengu huu, nani mwingine aliyewahi kuwa na
uhusiano wa karibu sana na Mungu?
Katika moyo Wake, wao ni muhimu sana na Anawathamini zaidi ya yote.
Wanavyomumiza Mungu, wanavyomkaidi.
Hata ingawa Amewalipia gharama kubwa kama hiyo,
bila kuchoka, Mungu anafanya kazi, halalamiki, hajuti,
akijua siku moja wanadamu wataguswa na maneno Yake.
Wao watauamkia wito Wake,
watamtambua kama Bwana wa wote, watarudi upande Wake.
Bila kujali ugumu wa kazi, bila kujali vikwazo,
bila kujali jinsi mwanadamu alivyo mdhaifu na muasi,
hakuna kitu kinachoweza kumzuia Mungu, hakuna kilicho kigumu sana, hakuna kilicho kingumu sana.
Ooo ... ooo ... ooo ... ooo ...
Ooo ... ooo ... ooo ... ooo ...
kutoka kwa "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III" katika Neno Laonekana katika Mwili
Kujua zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni