Jumatano, 21 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (2)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (2)
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi na kuingia kwenu ni duni kabisa; mwanadamu hafikirii kwamba kazi ni muhimu na hata yeye ni mzembe zaidi na kuingia. Mwanadamu haoni haya kuwa mafunzo mazuri anayopaswa kuingia ndani; kwa hivyo, katika uzoefu wake wa kiroho, kwa kweli yote ambayo mwanadamu huona ni njozi za kiajabu. Si mengi yanatakiwa kutoka kwenu kuhusu uzoefu wenu katika kazi, lakini, kama yule anayetakiwa kukamilishwa na Mungu,

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (1)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (1)

Mwenyezi Mungu alisema, Tangu watu waanze kuikanyaga njia sahihi ya maisha, kumekuwa na mambo mengi ambayo bado hayajaeleweka vizuri. Bado wapo kwenye mkanganyiko kabisa kuhusu kazi ya Mungu, na kuhusu kiasi gani cha kazi wanapaswa kufanya. Hii, kwa upande mmoja, ni kwa sababu ya kuwa na uelekeo tofauti wa uzoefu wao na mipaka katika uwezo wao wa kupokea; kwa upande mwingine,

Jumanne, 20 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Niliupata Mwanga wa Kweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Wakristo

Umeme wa Mashariki | Niliupata Mwanga wa Kweli
Qiuhe, Japani
Nilizaliwa katika familia ya Kikatoliki. Tangu nilipokuwa mdogo, nilihudhuria Misa kanisani na babu na bibi yangu. Kutokana na ushawishi wa mazingira yangu na imani yangu kwa Mungu, nilijifunza kuimba maandiko mengi tofauti na kufanya kaida mbalimbali za dini.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Umeme wa Mashariki | Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga
Faith China
Mimi ni mfanyakazi wa kawaida. Mwishoni mwa Novemba, 2013, mfanyakazi mwenza aliona kwamba mke wangu na mimi tungefanya kelele nyingi sana juu ya vitu vidogo, kwamba kila siku tulikuwa na wasiwasi na huzuni, hivyo alipitisha kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku mwisho kwetu. Kutoka kwa neno la Mwenyezi Mungu, tumejifunza kwamba mbingu na dunia na vitu vyote viliumbwa na Mungu, na kwamba uhai wa mtu amekirimiwa na Mungu.

Jumatatu, 19 Februari 2018

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu

Wakristo, uaminifu, kumjua Mungu

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu
Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi
Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu kuhusu maisha Yake: Matendo Yake, maneno Yake, mwendo Wake na maonyesho Yake. …

Jumapili, 18 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utangulizi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa MasharikiKanisa la Mwenyezi Mungu | Utangulizi
"Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima" ni kundi la pili la matamshi yanayoonyeshwa na Kristo. Ndani yake, Kristo Anatumia utambulisho wa Mungu Mwenyewe. Yanajumlisha kipindi cha kuanzia Februari 20, 1992 hadi Juni 1, 1992, na yana jumla ya matamshi arobaini na saba.