Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Petro. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Petro. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 19 Februari 2018

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu

Wakristo, uaminifu, kumjua Mungu

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu
Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi
Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu kuhusu maisha Yake: Matendo Yake, maneno Yake, mwendo Wake na maonyesho Yake. …

Jumapili, 18 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 35. Jinsi ya Kuishika Njia ya Petro

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Petro an yesu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 35. Jinsi ya Kuishika Njia ya Petro
Mwenyezi Mungu alisema, Kufanya muhtasari wa kuishika njia ya Petro, ni kuishika njia ya kufuatilia ukweli, ambayo pia ni njia ya kujijua na kubadilisha tabia ya mtu. Ni kwa kuishika tu njia ya Petro ndio mtu atakuwa anashika njia ya kukamilishwa na Mungu. Mtu lazima aelewe hasa jinsi ya kuishika njia ya Petro na jinsi ya kuiweka katika vitendo. Kwanza, mtu lazima aweke kando madhumuni yake mwenyewe, shughuli zisizofaa, na hata familia yake na vitu vyote vya mwili wake.

Jumamosi, 6 Januari 2018

Sura ya 30. Kumtumikia Mungu Mtu Anapaswa Kutembea Njia ya Petro

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Yesu
Sura ya 30. Kumtumikia Mungu Mtu Anapaswa Kutembea Njia ya Petro

Sura ya 30. Kumtumikia Mungu Mtu Anapaswa Kutembea Njia ya Petro

Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi hawawezi kuainisha ni watu gani wana ukweli, watu gani hawana ukweli na watu gani husema mambo yaliyo na ukweli. Unapoulizwa kueleza ni nini maana ya "ukweli," huwezi kueleza kwa wazi. Lakini mara tu mtu anaposema kitu, unasema: “Mtazamo wake ni wa kweli. Maneno ayasemayo yanaonyesha ufahamu wa utendaji uliopatikana kupitia kwa uzoefu.”

Jumanne, 14 Novemba 2017

Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa ,Mwenyezi Mungu
Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu alisema,Watu wengi wanamwamini Mungu kwa ajili ya hatima yao ya baadaye au kwa ajili ya starehe ya muda mfupi. Kwa wale ambao hawajapitia ushughulikiaji wowote, imani kwa Mungu ni kwa ajili ya kuingia mbinguni, ili kupata tuzo.