Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumwabudu-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumwabudu-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 6 Mei 2019

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 45. Siri Zilizofichwa Nyuma ya Ufuatiliaji

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ukweli,

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 45. Siri Zilizofichwa Nyuma ya Ufuatiliaji

Li Li Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong
Sio muda mrefu uliopita, nilichaguliwa kama kiongozi wa ngazi ya katikati na ndugu zangu wa kiume na kike. Siku moja, nilipokuwa nimekusanyika na wafanyakazi wenzangu, sikuweza kujizuia kufikiria mwenyewe: ni lazima nifanye vyema. Ningetimiza wajibu wangu vibaya, viongozi wangu na wafanyakazi wenzangu wangenionaje? Matokeo yake yalikuwa, tulipozungumzia mada fulani pamoja, almuradi nilikuwa na ufahamu kidogo wa mada hiyo, basi ningejaribu kuwa wa kwanza kusema kitu, hata hivyo wakati sikuwa na ufahamu wa mada iliyojadiliwa na sikuweza kusema chochote, nilijipata nikiwa na wasiwasi.

Jumatatu, 22 Aprili 2019

Baraka za Mungu: Huenda Nisiwe Tajiri, lakini Nina Bahati Sana

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ukweli,

Baraka za Mungu: Huenda Nisiwe Tajiri, lakini Nina Bahati Sana

                                              Na Bong, Philippines


“Mwalimu mkuu, tafadhali mpe mwanangu fursa na kumruhusu afanye mtihani!” Macho ya mama yangu yalimsihi mwalimu mkuu alipokuwa akizungumza kwa sauti ya kutetemeka kidogo.

Bila kuonyesha hisia, mwalimu mkuu akasema, “Hapana, shule ina kanuni. Mtoto anaweza kufanya mtihani tu wakati ada ya mtihani imelipwa!”

Mama yangu alionekana mwenye kutayahari na kumsihi mwalimu mkuu, akisema, “Mwalimu mkuu, najua hili ni gumu sana kwako shuleni pia, lakini nina watoto wengi na sisi huweza kuishi kwa shida tu.

Jumamosi, 20 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu | "Sifa kwa Maisha Mapya katika Ufalme" | Watu wa Mungu Humsifu na Kumwabudu Mungu

Wimbo wa Kuabudu | "Sifa kwa Maisha Mapya katika Ufalme" | Watu wa Mungu Humsifu na Kumwabudu Mungu
Tumesikia sauti ya Mungu na kurudi nyumbani Kwake. Mikutanoni tunakula na kunywa maneno ya Mungu, tunahudhuria karamu. Sisi tunaaga huzuni na vifungo vyetu, tunaishi maisha mapya. Maneno ya Mungu yako nasi kila siku, tunastarehe ndani yake. Tunapofungua mioyo yetu katika ushirika wa kweli, mioyo yetu inaangazwa sana. Tunatafakari, kufikiri maneno ya Mungu, Roho Mtakatifu anatuangazia. Tunaondolewa vizuizi na ubaguzi wetu, tunaishi ndani ya upendo wa Mungu.

Jumanne, 19 Februari 2019

Maneno ya Mungu | Hudumu kama Waisraeli Walivyofanya

Maneno ya Mungu | Hudumu kama Waisraeli Walivyofanya

Mwenyezi Mungu anasema:“ Siku hizi watu wengi hawatilii maanani mafunzo yapi yanayopaswa kusomwa wakati wa upatano na wengine. Nimegundua kuwa wengi wenu hawawezi kujifunza mafunzo hata kidogo wakati wa ushirikiano na wengine.

Jumatano, 21 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (2)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (2)
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi na kuingia kwenu ni duni kabisa; mwanadamu hafikirii kwamba kazi ni muhimu na hata yeye ni mzembe zaidi na kuingia. Mwanadamu haoni haya kuwa mafunzo mazuri anayopaswa kuingia ndani; kwa hivyo, katika uzoefu wake wa kiroho, kwa kweli yote ambayo mwanadamu huona ni njozi za kiajabu. Si mengi yanatakiwa kutoka kwenu kuhusu uzoefu wenu katika kazi, lakini, kama yule anayetakiwa kukamilishwa na Mungu,