Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha✨๐— Kanisa la Mwenyezi Mungu (@CAGchurchsw) 2018ๅนด2ๆ3ๆฅ
Xie Li, Marekani
๐Soma zaidi: https://t.co/UGlruRyY0W#imanikatikaMungu #upendowaMungu #ukombozi #kumpendaMungu #Mkristo #ushuhuda #kumfuataMungu #KumchaMungu #KanisalaMwenyeziMungu pic.twitter.com/dzLEv4oLIa
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ushuhuda-wa-Kurudi-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ushuhuda-wa-Kurudi-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Jumapili, 11 Machi 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha✨๐ Xie Li, Marekani
Jumanne, 20 Februari 2018
Umeme wa Mashariki | Niliupata Mwanga wa Kweli
Umeme wa Mashariki | Niliupata Mwanga wa Kweli
Qiuhe, Japani
Nilizaliwa katika familia ya Kikatoliki. Tangu nilipokuwa mdogo, nilihudhuria Misa kanisani na babu na bibi yangu. Kutokana na ushawishi wa mazingira yangu na imani yangu kwa Mungu, nilijifunza kuimba maandiko mengi tofauti na kufanya kaida mbalimbali za dini.
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga
Umeme wa Mashariki | Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga
Faith China
Mimi ni mfanyakazi wa kawaida. Mwishoni mwa Novemba, 2013, mfanyakazi mwenza aliona kwamba mke wangu na mimi tungefanya kelele nyingi sana juu ya vitu vidogo, kwamba kila siku tulikuwa na wasiwasi na huzuni, hivyo alipitisha kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku mwisho kwetu. Kutoka kwa neno la Mwenyezi Mungu, tumejifunza kwamba mbingu na dunia na vitu vyote viliumbwa na Mungu, na kwamba uhai wa mtu amekirimiwa na Mungu.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)