Jumatatu, 22 Januari 2018

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu” Wewe ni Bwana wa Maisha Yangu


Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu” Wewe ni Bwana wa Maisha Yangu

Mwenyezi Mungu alisema, “Ukuu na nguvu ya uhai wa Mungu hauwezi kueleweka na kiumbe chochote. Hii ilikuwa hivyo awali, iko hivyo wakati huu, na itakuwa hivyo wakati ujao. Siri ya pili Nitakayotoa ni hii: chanzo cha uhai hutoka kwa Mungu, kwa viumbe vyote, haijalishi tofauti katika maumbile au muundo. Hata uwe kiumbe hai cha aina gani, huwezi kwenda kinyume na njia ya maisha ambayo Mungu ameweka.

Utangulizi wa programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu | Injili ya kurudi kwa Bwana Yesu

Utangulizi wa programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu | Injili ya kurudi kwa Bwana Yesu


Pakua Programu: sw.kingdomsalvation.org/app.html

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji.

Jumapili, 21 Januari 2018

Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen” | Mungu ni upendo

Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen”| Mungu ni upendo

Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake. Baada ya kuteseka kutokana na msiba huu, Xiaozhen alilazimika kuuacha moyo wake wa kweli na kanuni zake za awali. Alianza kuisaliti dhamiri yake mwenyewe iliyo nzuri na roho safi, na kugaagaa katika kinamasi cha ulimwengu mbaya. …

Swahili Christian Testimony Video "Katikati ya Majira ya Baridi"

Swahili Christian Testimony Video "Katikati ya Majira ya Baridi"

Her name is Xiao Li. She has believed in God for more than a decade. In the winter of 2012, she was arrested by the Chinese Communist police at a congregation. During interrogation, the police repeatedly coaxed, threatened, battered and tortured her in their attempts to seduce her to betray God by disclosing the whereabouts of the leaders and money of the church.

Jumamosi, 20 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu Lilikujaje Kuwepo?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Kanisa la Mwenyezi Mungu Lilikujaje Kuwepo?

Kama makanisa ya Ukristo, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwepo kwa sababu ya kazi ya Mungu kupata mwili. Makanisa ya Ukristo yalipata kuwepo kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Bwana Yesu aliyepata mwili, na Kanisa la Mwenyezi Mungu lilipata kuwepo kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu mwenye mwili wa siku za mwisho. Hivyo, makanisa kotekote katika enzi yamefanyizwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mungu Aliyepata mwili.

Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?

Watu wengi hawaelewi ni kwa nini, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu katika siku za mwisho, Bwana Yesu anaitwa Mwenyezi Mungu wakati Anapokuja kufanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho. Kwa nini haendelei kuitwa Bwana Yesu? Kwa kweli, Mungu ana jina jipya kila wakati Anapofanya hatua moja ya kazi Yake. Jina hili jipya linachukuliwa na Mungu Mwenyewe kama inavyofaa kazi hii–siyo kitu ambacho watu humuita Yeye kama wanavyotaka. Jina analolichukua Mungu katika kila hatua ya kazi lina msingi wake katika Biblia.