Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kikristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kikristo. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 13 Novemba 2018

2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Ulimwengu" (Swahili Subtitles)

2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Ulimwengu" (Swahili Subtitles)

    Ulimwengu ni mkubwa sana na usio na kikomo, na una nyota nyingi mno zisizohesabika katika mzunguko sahihi…. Unatamani kujua aliyeziumba sayari za juu za ulimwengu, na yule ambaye huamuru tao la mtupo angani?

Jumatano, 24 Oktoba 2018

Swahili Gospel Video Clip "Kuibuka na Kuanguka kwa Falme ya Kirumi"

Swahili Gospel Video Clip "Kuibuka na Kuanguka kwa Falme ya Kirumi"

    Milki ya kale ya Kirumi iliinuka na ilianzishwa kwa ajili ya kuenea kwa Ukristo. Kipindi chake cha heri na furaha kubwa kilikaribishwa na kuanzisha Ukristo kama dini yake ya kitaifa.

Ijumaa, 14 Septemba 2018

Swahili Christian Video "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God

           Swahili Christian Video "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God

"Kijana! Je, unajua kwamba Chama cha Kikomunisti ni kikana Mungu na kiko kinyume na imani katika Mungu? Katika China, kuna Mungu yupi kwako kuamini? Mungu huyu wako yuko wapi?"

Jumamosi, 17 Februari 2018

Ni Tofauti Gani Iliyopo Kati Ya Ukristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu?

Ni Tofauti Gani Iliyopo Kati Ya Ukristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu?
Ukristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu huamini katika Mungu huyo huyo. Watu wanaoelewa historia ya dini wanajua kwamba Uyahudi wa Israeli ulizaliwa na kazi ambayo Yehova Mungu alifanya wakati wa Enzi ya Sheria. Ukristo, Ukatoliki, na Othodoksi ya Mashariki yote yalikuwa makanisa yaliyoibuka baada ya Bwana Yesu mwenye mwili kufanya kazi ya ukombozi. Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwepo wakati Mungu alipopata mwili wakati wa siku za mwisho kufanya kazi ya hukumu.

Jumamosi, 20 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu Lilikujaje Kuwepo?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Kanisa la Mwenyezi Mungu Lilikujaje Kuwepo?

Kama makanisa ya Ukristo, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwepo kwa sababu ya kazi ya Mungu kupata mwili. Makanisa ya Ukristo yalipata kuwepo kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Bwana Yesu aliyepata mwili, na Kanisa la Mwenyezi Mungu lilipata kuwepo kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu mwenye mwili wa siku za mwisho. Hivyo, makanisa kotekote katika enzi yamefanyizwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mungu Aliyepata mwili.