17. Matunda Machungu ya Kiburi | Kanisa la Mwenyezi Mungu |
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yesu-Kristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yesu-Kristo. Onyesha machapisho yote
Ijumaa, 22 Desemba 2017
17. Matunda Machungu ya Kiburi | Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo
17. Matunda Machungu ya Kiburi | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Jumatatu, 18 Desemba 2017
Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Kristo ndiye Chanzo cha Uhai na Vile Vile Bwana wa Biblia
Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Kristo ndiye Chanzo cha Uhai na Vile Vile Bwana wa Biblia
Biblia imejaa maneno ya Mungu na vile vile uzoefu na ushuhuda kutoka kwa mwanadamu ambao unaweza kutupa uhai na ni yenye manufaa sana kwetu. Bwana Yesu alisema, “Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima: Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, bado ataishi: Na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele.” (Yohana 11:25-26). Lakini kwa nini, baada ya miaka 2,000, hakuna kati ya wale walio na imani katika Bwana ambao wamesoma Biblia wamewahi kupata uzima wa milele? Inaweza kuwa kwamba Biblia haina njia ya uzima wa milele?
Jumatatu, 11 Desemba 2017
Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Je, Kazi na Maneno Yote ya Mungu Yamo katika Biblia?
Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Je, Kazi na Maneno Yote ya Mungu Yamo katika Biblia?
Dunia nzima ya kidini yote huamini kwamba kazi na maneno ya Mungu yote yamo katika Biblia, na kwamba isipokuwa Biblia, hakuna maneno yaliyonenwa na Mungu na kazi Yake. Kwa hiyo, ili mradi uko mwaminifu kwa Biblia, hili litahakikisha kwamba utaweza kuingia ufalme wa mbinguni. Je, mawazo haya yanapatana na ukweli wa kazi ya Mungu? Kuna maneno ya Mungu nje ya Biblia? Ni nini hasa kitakachomwongoza mwanadamu kuingia ufalme wa mbinguni? Je, ni kushika Biblia, ama ni kufuata nyayo za Mwanakondoo? Dondoo hii itafichua majibu yote kwako!
Ijumaa, 8 Desemba 2017
Tamko la Saba | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Tamko la Saba | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Matawi yote ya magharibi yanapaswa kuisikiliza sauti Yangu:
Je, mmekuwa waaminifu Kwangu hapo awali? Je, mmekuwa mkiyasikia maneno Yangu mazuri ya ushauri? Je, mnayo matumaini ambayo ni halisi na yasiyo na mashaka?
Jumatano, 6 Desemba 2017
Tamko la Kumi na Nne | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Tamko la Kumi na Nne | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Katika enzi zote, hakuna mwanadamu ameingia katika ufalme na hivyo hakuna aliyefurahia neema ya Enzi ya Ufalme, hakuna aliyeona Mfalme wa ufalme. Ingawa chini ya nuru ya Roho Wangu watu wengi wametabiri uzuri wa ufalme, wanajua tu nje ya ufalme, sio umuhimu wa ndani. Leo, ufalme ujapo kuwepo rasmi duniani, ubinadamu wote bado hujui kinachopaswa kukamilishwa, ulimwengu ambao binadamu hatimaye ataletwa ndani, wakati wa Enzi ya Ufalme.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)