Jumatatu, 13 Mei 2019

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 61. Mchakato wa Mbadiliko wa Muumini Mwenye Kiburi

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 61. Mchakato wa Mbadiliko wa Muumini Mwenye Kiburi

Zhang Yitao, Mkoa wa Henan
“Mungu, kazi Yako ni ya vitendo sana, imejaa haki na utakatifu sana. Umekuwa ukifanya kazi kwa muda mrefu kwa subira, yote kwa ajili yetu. Katika siku za nyuma, nilimwamini Mungu lakini sikuwa na mwenendo wa binadamu. Nilikuasi na kuumiza moyo Wako bila kujua. Nimejaa aibu na majuto na ninapaswa kukushukuru Wewe. Ni sasa tu ninapotambua hili. ... Bila Hukumu Yako kali, singekuwa na leo, na nikikabiliwa na upendo Wako wa kweli nina shukrani na kuwiwa na Wewe. Ilikuwa ni kazi Yako ambayo iliniokoa na kusababisha tabia yangu kubadilika.

Alhamisi, 9 Mei 2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Kwanza


Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii: Kwa Kupinga Mungu kwa Ukaidi, Binadamu Anaangamizwa na Hasira za Mungu Kupotoka kwa Sodoma: Kunakasirisha Binadamu, Kunaghadhibisha Mungu Sodoma Yaangamizwa kwa Kukosea Hasira za Mungu Baada ya Ukinzani wa Mara kwa Mara wa Sodoma na Ukatili Wao Dhidi Yake, Mungu Anaufuta Kabisa

Yaliyopendekezwa: Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake"
Tufuate: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumatano, 8 Mei 2019

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 59. Kuzaliwa Upya

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ukweli,

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 59. Kuzaliwa Upya

Yang Zheng Mkoa wa Heilongjiang
Nilizaliwa katika familia maskini ya vijijini iliyokuwa nyuma kimaendeleo katika kufikiri kwao. Nilikuwa ovyo kutoka utotoni na hamu yangu ya hadhi ilikuwa hasa yenye nguvu. Baada ya muda, kupitia ushawishi wa jamii na mafunzo ya kitamaduni, nilichukua aina zote za sheria za Shetani za kuponea moyoni mwangu. Aina zote za hoja za uwongo zililea matamanio yangu ya sifa na hadhi, kama vile kujenga nchi nzuri ya asili kwa mikono yako miwili, umaarufu utakufanya kuishi milele, watu wanahitaji nyuso kama mti unavyohitaji ganda lake, kujiendeleza na kuwa juu, mtu anapaswa kuleta heshima kwa mababu zake, nk.

Jumanne, 7 Mei 2019

56. Ni kwa Kuingia Katika Ukweli Mimi Mwenyewe tu Ndio Ninaweza Kuwasaidia Wengine

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, hukumu,

56. Ni kwa Kuingia Katika Ukweli Mimi Mwenyewe tu Ndio Ninaweza Kuwasaidia Wengine

Du Fan Mkoa wa Jiangsu
Hivi karibuni, kanisa moja lilikuwa linakipiga kura ili kumchagua kiongozi mpya, lakini kiongozi aliyeongoza alienda kinyume na kanuni za kanisa, akitumia njia yake mwenyewe kutekeleza upigaji kura. Wakati ndugu fulani wa kiume na wa kike walipotoa maoni yao, sio tu kwamba hakuyakubali, lakini alisisitiza kushikilia njia yake mwenyewe. Baadaye kanisa lilitupwa katika mchafuko kwa ajili ya vitendo vya kiongozi huyo. Nilipopata kujua, nilikasirika kabisa: Mtu anawezaje kuwa mwenye kiburi mno na wa kujidai?

Jumatatu, 6 Mei 2019

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 45. Siri Zilizofichwa Nyuma ya Ufuatiliaji

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ukweli,

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 45. Siri Zilizofichwa Nyuma ya Ufuatiliaji

Li Li Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong
Sio muda mrefu uliopita, nilichaguliwa kama kiongozi wa ngazi ya katikati na ndugu zangu wa kiume na kike. Siku moja, nilipokuwa nimekusanyika na wafanyakazi wenzangu, sikuweza kujizuia kufikiria mwenyewe: ni lazima nifanye vyema. Ningetimiza wajibu wangu vibaya, viongozi wangu na wafanyakazi wenzangu wangenionaje? Matokeo yake yalikuwa, tulipozungumzia mada fulani pamoja, almuradi nilikuwa na ufahamu kidogo wa mada hiyo, basi ningejaribu kuwa wa kwanza kusema kitu, hata hivyo wakati sikuwa na ufahamu wa mada iliyojadiliwa na sikuweza kusema chochote, nilijipata nikiwa na wasiwasi.

Jumapili, 5 Mei 2019

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 31. Mawazo Kuhusu Kubadilishwa

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 31. Mawazo Kuhusu Kubadilishwa

Yi Ran Mji wa Laiwu , Mkoa wa Shandong
Wakati fulani awali, kwa sababu yangu kutoelewa kanuni iliyotumiwa na kanisa ya masahihisho ya wafanyakazi wa kanisa, wakati kanisa lilibadilisha kiongozi, dhana iliibuka ndani yangu. Kutoka kwa kile nilichoweza kuona, dada aliyebadilishwa alikuwa mzuri sana kwa kupokea na kushirikiana ukweli, na aliweza kuwa wazi juu ya maonyesho yake ya upotovu. Kwa hiyo sikuweza kujua asilani jinsi mtu fulani aliyetafuta ukweli sana angeweza kubadilishwa.