Mwenyezi Mungu anasema, "Kuingia rahani hakumaanishi kwamba mambo yote yatakoma kusonga, ama kwamba mambo yote yatakoma kuendelea, wala hakumaanishi kwamba Mungu atakoma kufanya kazi ama mwanadamu atakoma kuishi. Ishara ya kuingia rahani ni kama hii: Shetani ameangamizwa; wale watu waovu wanaomuunga mkono Shetani kwa kufanya maovu wameadhibiwa na kuondolewa; nguvu zote za uhasama kwa Mungu zimekoma kuwepo.
Jumanne, 12 Machi 2019
Jumapili, 10 Machi 2019
Maneno ya Mungu | “Mnapaswa Kuzingatia Matendo Yenu”
Mwenyezi Mungu anasema, “Katika maisha yenu ya kila siku, mnaishi katika hali na mazingira yasiyo na ukweli ama fahamu nzuri. Hamna rasilimali ya uwepo na pia hamna msingi wa Kunijua au kujua ukweli. Imani yenu imejengwa tu juu ya ujasiri usio dhahiri au kwenye ibada za kidini na ujuzi kulingana na mafundisho ya kidini kabisa. Kila siku Ninatazama mienendo yenu na kuchunguza nia yenu na matunda yenu maovu.
Jumamosi, 9 Machi 2019
Wimbo wa dini | 60. Wimbo wa Onyo Jema
Kristo ni mshindi. Kristo ni mshindi.
I
Kwa kumfuata Mungu na kupata ukweli, unaitembea njia ya uzima.
Kwa kutafuta teolojia na kujadili nadharia, unawadhuru wengine na wewe mwenyewe. Kuhubiri mafundisho na kushikilia sheria kunaonyesha kwamba huna uhalisi. Kwa kutoa wito kwa sauti na kutotenda, unamdanganya Mungu waziwazi.
Ijumaa, 8 Machi 2019
Wimbo wa kuabudu | 276. Mungu Anatarajia Imani ya Kweli ya Mwanadamu
Mungu daima humchukulia mwanadamu kwa kiwango kikali.
Ikiwa uaminifu wako unakuja na masharti,
Hataki hiyo yako unayodai kuwa imani.
Alhamisi, 7 Machi 2019
Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | “Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote”
Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | “Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote”
Mwenyezi Mungu anasema, “Kwa kweli, Mungu ni Bwana wa mambo yote. Yeye ndiye Mungu wa viumbe vyote. Yeye si Mungu wa Waisraeli pekee, na Yeye si Mungu wa Wayahudi pekee; Yeye ni Mungu wa viumbe vyote. … Kazi Yake ya awali ilifanywa Yudea, ndani ya eneo la Israeli; katika mataifa yasiyo ya Kiyahudi Hakufanya kazi yoyote ya uzinduzi wa enzi hata kidogo.
Jumatano, 6 Machi 2019
wimbo wa kuabudu | 115. Napaswa Kuufikiria Moyo wa Mungu
Nimebarikiwa kusikia sauti ya Mungu na kuletwa mbele Yake.
Kula na kunywa maneno ya Mungu, nimehudhuria karamu ya harusi ya Mwanakondoo na kuona kuonekana kwa Mungu.
Kupitia hukumu na utakaso wa Mungu ni uinuaji Wake.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)