Jumatano, 16 Januari 2019

50. Kazi ya Mungu Inaendelea Kuboreshwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Nyimbo

50. Kazi ya Mungu Inaendelea Kuboreshwa

I
Kazi ya Mungu inaendelea kuwa bora;
ingawa kusudi linabaki bila kubadilika,
mbinu ya kazi Yake inabadilika kila wakati,
na hivyo pia wale wanaomfuata.

Jumanne, 15 Januari 2019

71. Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi

Mnyenyekevu na Uliyejificha, Wewe unaambatana na watu katika matatizo yao,
Ukiwapa njia ya uzima wa milele.
Unawapenda binadamu kama mwili Wako mwenyewe.
Na Unastahili upendo wao.
Unaona afadhali Uteseke Mwenyewe, ukimruhusu mwanadamu apate faida.

Jumatatu, 14 Januari 2019

5. Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili.

Sura ya 5 Lazima Uujue Ukweli Kuhusu Mungu Kupata Mwili

5. Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili.

Maneno Husika ya Mungu:
Umuhimu wa kupata mwili ni kwamba mtu wa kawaida Anatekeleza kazi ya Mungu Mwenyewe; yaani, kwamba Mungu Anatekeleza kazi Yake ya uungu kwa wanadamu na hivyo kumshinda Shetani. Kupata mwili kunamaanisha kwamba Roho wa Mungu Anakuwa Mwili, yaani, Mungu Anakuwa mwili; kazi Anayoifanya katika mwili ni kazi ya Roho, inayothibitika katika mwili, na kuonyeshwa kwa mwili.

Jumapili, 13 Januari 2019

Wafaa Kujua Namna Ambavyo Binadamu Wote Wameendelea Hadi Siku ya Leo

Wafaa Kujua Namna Ambavyo Binadamu Wote Wameendelea Hadi Siku ya Leo

Mwenyezi Mungu anasema, " Uzima wa kazi ya miaka 6,000 yote umebadilika kwa utaratibu kuambatana na nyakati. Mabadiliko katika kazi hii kumefanyika kulingana na hali zinazozunguka ulimwengu mzima. Kazi ya usimamizi ya Mungu imebadilika tu kwa utaratibu kulingana na mitindo ya kimaendeleo ya binadamu kwa ujumla; haikuwa imepangwa tayari mwanzoni mwa uumbaji.

Ijumaa, 11 Januari 2019

Sura ya 35

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Sura ya 35

Mwenyezi Mungu anasema, " Siku hizi, binadamu wote, kwa viwango vinavyotofautiana, wameingia katika hali ya kuadibu. Kama tu alivyosema Mungu, “Naenda mbele na binadamu sako kwa bako.” Hii ni kweli kabisa, lakini watu bado hawawezi kulielewa kabisa wazo hili.

26. Mtu anawezaje kupata kazi ya Roho Mtakatifu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,maombi

26. Mtu anawezaje kupata kazi ya Roho Mtakatifu?

Maneno Husika ya Mungu:
Kazi ya Roho Mtakatifu inabadilika kutoka siku hadi siku, ikipanda juu kwa kila hatua; ufunuo wa kesho unakuwa hata juu kuliko wa leo, hatua kwa hatua ukikwea hata juu zaidi. Hii ndiyo kazi anayotumia Mungu kumkamilisha mwanadamu. Iwapo mwanadamu hawezi kwenda sambamba, basi anaweza kuachwa wakati wowote. Kama mwanadamu hana moyo wa kutii, basi hawezi kufuata hadi mwisho.