Bwana Yesu alitabiri kwamba katika zile siku za mwisho, ngano itatenganishwa na matawi, kondoo na mbuzi, na watumishi wema kutoka kwa watumishi waovu. Unajua jinsi unabii huu unatimizwa?
Jumamosi, 29 Desemba 2018
Ijumaa, 28 Desemba 2018
Majani Yaangukayo Yatakaporudi kwa Mizizi Yake Utajuta Maovu Yote Ambayo Umefanya
Majani Yaangukayo Yatakaporudi kwa Mizizi Yake Utajuta Maovu Yote Ambayo Umefanya
Mwenyezi Mungu anasema, "Nyote mmeshuhudia wenyewe kazi ambayo Nimefanya miongoni mwenu, ninyi wenyewe mmesikia maneno ambayo Nimenena, nanyi mnajua mtazamo Wangu kuelekea kwenu, kwa hiyo mnapaswa kujua kwa nini Ninafanya kazi hii miongoni mwenu. Nitawaambia ukweli—ninyi ni vifaa tu vya kazi Yangu ya ushindi katika siku za mwisho; ninyi ni vyombo vya kupanua kazi Yangu miongoni mwa nchi za Mataifa.
Alhamisi, 27 Desemba 2018
"Nimewahi Treni ya Mwisho" (4) : Hukumu Mbele ya Kiti Kikuu Cheupe cha Mungu Imeanza
"Nimewahi Treni ya Mwisho" (4) : Hukumu Mbele ya Kiti Kikuu Cheupe cha Mungu Imeanza
Unajua jinsi hukumu ya kiti cha enzi kikuu cheupe iliyotabiriwa katika Ufunuo inatimizwa?
Jumatano, 26 Desemba 2018
Kuhusu Maisha ya Kawaida ya Kiroho
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Maisha ya Kawaida ya Kiroho
Muumini lazima awe na maisha ya kawaida ya kiroho huu ni msingi wa kupitia maneno ya Mungu na kuingia katika hali halisi. Sasa hivi, je, maombi yote, kule kuja karibu na Mungu, kuimba, kusifu, kutafakari, na kule kujaribu kuelewa maneno ya Mungu ambayo mnatenda yanafikia viwango vya maisha ya kawaida ya kiroho? Hakuna kati yenu aliye wazi sana juu ya hili.
Jumanne, 25 Desemba 2018
"Nimewahi Treni ya Mwisho" (3) : Nini Mungu Anapata Mwili Kufanya Kazi Yake katika Siku za Mwisho
Kanisa la Mwenyezi Mungu hushuhudia kwamba katika zile siku za mwisho Bwana amerejea katika mwili kueleza ukweli na kufanya kazi Yake ya hukumu kuanzia na familia ya Mungu.
Jumatatu, 24 Desemba 2018
328. Mungu Anafanikisha Vyote Katika Siku za Mwisho Hasa kwa Maneno
328. Mungu Anafanikisha Vyote Katika Siku za Mwisho Hasa kwa Maneno
I
Katika siku za mwisho ambapo Mungu anakuwa mwili,
Yeye hutumia neno hasa kufichua na kukamilisha kila kitu.
Ni katika maneno Yake tu ndiyo unaweza kuona
kile Alicho, Yeye ni Mungu Mwenyewe.
Mungu mwenye mwili hafanyi kazi nyingine yoyote
ila kunena maneno.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)