Jumatatu, 19 Novemba 2018

1. Kwa nini Mungu huitwa majina tofauti katika enzi tofauti? Ni nini umuhimu wa majina ya Mungu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

IV. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Mungu na Majina Yake

1. Kwa nini Mungu huitwa majina tofauti katika enzi tofauti? Ni nini umuhimu wa majina ya Mungu?

Maneno Husika ya Mungu:
Unapaswa kujua kuwa Mungu mwanzoni hakuwa na jina. Yeye Alichukua tu jina moja, au majina mawili, ama majina mengi kwa sababu Alikuwa na kazi ya kufanya na Alikuwa na jukumu la kumsimamia mwanadamu. Jina lolote ambalo anaitwa Yeye, je, si lile analolichagua kwa hiari yake? Je, Yeye anakuhitaji wewe, kiumbe, kuamua jina lake?

Jumapili, 18 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Mungu wa CCP

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Mungu wa CCP

    Ili kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungu na kuiacha imani yao, CCP haijawaashawishi Wakristo kwa umaarufu na hadhi tu, lakini imewatia kasumba ya ukanaji Mungu, uyakinifu, kuamini mageuko, na maarifa ya kisayansi.

Jumamosi, 17 Novemba 2018

3. Ni vipi kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho humtakasa na kumwokoa wanadamu?

III. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho

3. Ni vipi kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho humtakasa na kumwokoa wanadamu?

Aya za Biblia za Kurejelea:
"Na iwapo mtu yeyote atayasikia maneno yangu, na asiyaamini, Mimi sitamhukumu: kwa kuwa mimi sikuja ili niihukumu dunia, bali kuiokoa dunia.

Ijumaa, 16 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1): Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1): Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?

Katiba ya China hutamka kwa dhahiri uhuru wa dini, lakini kisirisiri, serikali hutumia rasilimali nyingi mno za binadamu na za kifedha kwa kuikandamiza imani ya dini na kuwatesa Wakristo kikatili. Hata hawajaacha kununua vifaa vya hali ya juu zaidi kuwafuatia, kuwafuma, na kuwakamata Wakristo.

Alhamisi, 15 Novemba 2018

1. Jua madhumuni ya hatua tatu za kazi ya usimamizi wa Mungu wa wanadamu.

II. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Wokovu wa Mungu kwa Wanadamu

1. Jua madhumuni ya hatua tatu za kazi ya usimamizi wa Mungu wa wanadamu.

Maneno Husika ya Mwenyezi Mungu:
Mpango Wangu mzima wa usimamizi, ambao una urefu wa miaka elfu sita, unashirikisha awamu tatu, au enzi tatu: Kwanza, Enzi ya Sheria; pili, Enzi ya Neema (ambayo pia ni enzi ya Ukombozi); na mwisho, Enzi ya Ufalme. 

Jumatano, 14 Novemba 2018

2018 Gospel Music "Mungu Kuwatawala na Kuwakimu Wanadamu na Vitu Vyote" (Swahili Subtitles)

2018 Gospel Music "Mungu Kuwatawala na Kuwakimu Wanadamu na Vitu Vyote" (Swahili Subtitles)

    Chini ya mbingu, milima, mito, na maziwa vyote vina mipaka yavyo, na viumbe vyote huishi na kuzaana wakati wa misimu yote minne kulingana na sheria za maisha…. Ungependa kujua ni nani huwatawala na kuwakimu wanadamu na vitu vyote?