Ijumaa, 14 Septemba 2018

Swahili Christian Video "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God


    
           Swahili Christian Video "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God


"Kijana! Je, unajua kwamba Chama cha Kikomunisti ni kikana Mungu na kiko kinyume na imani katika Mungu? Katika China, kuna Mungu yupi kwako kuamini? Mungu huyu wako yuko wapi?"

Alhamisi, 13 Septemba 2018

93. Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki

93. Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki

Chen Lu Wilaya ya Tonglu, Mkoa wa Zhejiang
Nilizaliwa miaka ya 1980 katika kijiji—tulikuwa tumekuwa familia ya wakulima kwa vizazi vingi. Nilijiingiza katika masomo yangu ili niweze kuhitimu kuingia katika chuo na kuepuka maisha ya kijijini ya umasikini na hali ya kuwa nyuma. Nilipoanza shule ya upili, nilikutana na Historia ya Sanaa ya Magharibi, na wakati nilipoona picha nyingi za kupendeza kama vile "Mwanzo," "Bustani ya Edeni," na "Mlo wa Mwisho," ni hapo tu nilipojua kwamba kulikuwa na Mungu katika ulimwengu aliyeumba vitu vyote. Sikuweza kujizuia kuwa na moyo uliojaa hamu ya Mungu. 

Jumatano, 12 Septemba 2018

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (1) - Maskani ya Mungu Yako Pamoja na Wanadamu

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (1) - Maskani ya Mungu Yako Pamoja na Wanadamu

    Wengi ambao wanamwamini Bwana Yesu wote wanasubiri kunyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni, lakini je, unajua ufalme wa mbinguni hakika uko wapi? Je, unajua maana halisi ya kunyakuliwa? Filamu hii ya Kuamka Kutoka kwa Ndoto, itakufichulia mafumbo ya kunyakuliwa!


    Yaliyopendekezwa: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumanne, 11 Septemba 2018

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (3) - Mungu Hutumia Ukweli Kuhukumu na Kutakasa Mwanadamu katika Siku za Mwisho

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (3) - Mungu Hutumia Ukweli Kuhukumu na Kutakasa Mwanadamu katika Siku za Mwisho

    Katika Siku za Mwisho, Mungu anapata mwili ili kufanya kazi ya hukumu duniani kuanzia kwa nyumba ya Mungu, hivyo, kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho inamtakasaje na kumwokoa mwanadamu? Ni mabadiliko gani yataletwa kwa tabia yetu ya maisha baada ya kushuhudia hukumu na kuadibu kwa Mwenyezi Mungu? Filamu hii ya Kuamka Kutoka kwa Ndoto, itakupa majibu yote!


    Kujua zaidi:Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Jumatatu, 10 Septemba 2018

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake"

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake"

    Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani. Filamu hii inasimulia hadithi ya Gao Yufeng, Mkristo katika China Bara, ambaye alikamatwa na polisi wa CCP na kupewa mateso ya kikatili ya aina zote ambayo hatimaye yalimfanya kujiua katika kambi ya kazi kwa kumwamini Mungu na kutimiza wajibu wake. Filamu hii inaonyesha udhalimu mbaya sana na mateso ya kikatili yaliyowafika Wakristo waliozuiliwa baada ya kukamatwa chini ya utawala muovu wa CCP, ikionyesha asili ya pepo ya chuki ya CCP kwa Mungu na kuuawa kwa Wakristo.


    Watch videos Tazama video:Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumapili, 9 Septemba 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (2) - Mbona Kuna Ukiwa Ulioenea Pote katika Ulimwengu wa Dini?

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (2) - Mbona Kuna Ukiwa Ulioenea Pote katika Ulimwengu wa Dini?

    Dunia nzima ya dini kwa sasa inapitia njaa kubwa, hawapo tena pamoja na kazi ya Roho Mtakatifu au uwepo wa Bwana, wanafanya mambo maovu zaidi na zaidi na imani na huruma ya waumini inadhoofika na kuwa baridi. Aidha, maafa yanazidi kuwa mabaya zaidi na zaidi kote duniani, unabii kwamba Bwana angerudi katika siku za mwisho tayari umetimia. Hivyo, tunawezaje kutatua chanzo cha ukiwa wa makanisa kwa njia ambayo inawaruhusu wale ambao kweli wanaamini katika Mungu, ambao wanatamani kuonekana kwa Mungu kwa mara nyingine tena waje mbele za Mungu na kutembea kwenye njia ya wokovu? Hii video fupi itachunguza pamoja nawe jinsi ya kutatua tatizo hili la ukiwa wa makanisa.


    Watch more Tazama zaidi : Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu