Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ushahidi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ushahidi. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 24 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man


Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man

Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000,
uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi.
Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme ni awamu ya mwisho.
Ingawa kazi ya Mungu ni tofauti katika kila moja,

Alhamisi, 13 Septemba 2018

93. Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki

93. Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki

Chen Lu Wilaya ya Tonglu, Mkoa wa Zhejiang
Nilizaliwa miaka ya 1980 katika kijiji—tulikuwa tumekuwa familia ya wakulima kwa vizazi vingi. Nilijiingiza katika masomo yangu ili niweze kuhitimu kuingia katika chuo na kuepuka maisha ya kijijini ya umasikini na hali ya kuwa nyuma. Nilipoanza shule ya upili, nilikutana na Historia ya Sanaa ya Magharibi, na wakati nilipoona picha nyingi za kupendeza kama vile "Mwanzo," "Bustani ya Edeni," na "Mlo wa Mwisho," ni hapo tu nilipojua kwamba kulikuwa na Mungu katika ulimwengu aliyeumba vitu vyote. Sikuweza kujizuia kuwa na moyo uliojaa hamu ya Mungu. 

Alhamisi, 1 Februari 2018

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 73. Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ushuhuda

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 73. Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo?
Suxing Mkoa wa Shanxi
Mimi ni mtu mwenye kiburi na majivuno, na cheo kimekuwa udhaifu wangu. Kwa miaka mingi, nimefungwa na sifa na cheo na sijaweza kujiweka huru kutoka kwazo. Mara kwa mara nimepandishwa cheo na kubadilishwa na mtu mwingine; nimekuwa na vizuizi vingi katika cheo changu na nimekumbwa na matuta mengi njiani. Baada ya miaka mingi ya kushughulikiwa na kusafishwa, nilihisi kwamba sikuwa nachukulia cheo changu kwa uzito.