Jumamosi, 11 Agosti 2018

Kutupa mbali Jozi La Shetani Kunakomboa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa MasharikiKutupa mbali Jozi La Shetani Kunakomboa
Momo     Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui
Kabla ya kumwamini Mungu, bila kujali chochote nilichokuwa nikifanya, sikuwahi kutaka kubaki nyuma. Nilikuwa tayari kukubali shida yoyote ili mradi ingemaanisha ningeinuka juu ya kila mtu mwingine zaidi. Baada ya kumkubali Mungu, mtazamo wangu uliendelea kuwa sawa, kwa sababu niliamini kikamilifu msemo, "Hakuna maumivu, hakuna faida,"

Ijumaa, 10 Agosti 2018

Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu

Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu
I
Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
Amekuwa akifichua kwao
Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho, bila kukoma, kila wakati.
Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
Mungu huzungumza na kufanya kazi ili kuonyesha tabia Yake na kiini.

Alhamisi, 9 Agosti 2018

Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu"

Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu" | Jinsi Wakristo Humtegemea Mungu Kushinda

Fang Jin ni Mkristo. Alikamatwa na serikali ya CCP kwenye mkusanyiko. Ili kumlazimisha kuwataja ndugu zake wa kike na kiume na kumsaliti Mungu, polisi walimnyima chakula, maji na usingizi kwa siku saba mchana na siku sita usiku, na kusababisha kila aina ya mateso ya kinyama juu yake: mapigo makali, kuning’inizwa, kuchuchumaa, kudhihakiwa na kufedheheshwa.

Jumatano, 8 Agosti 2018

"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (5) - Ni Vipi Kuna Makosa Ndani ya Biblia?

"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (5) - Ni Vipi Kuna Makosa Ndani ya Biblia?

    Watu wengi wanaamini kwamba Biblia yote imetiwa msukumo na Mungu, kwamba imetoka kabisa kwa Roho Mtakatifu, na kwamba hakuna hata neno moja lililo na kosa. Je, mtazamo wa aina hii unawiana na ukweli? Biblia iliandikwa na waandishi zaidi ya 40, yaliyomo yaliandikwa na kupangwa na mwanadamu, na haikufunuliwa moja kwa moja na Roho Mtakatifu.

Jumanne, 7 Agosti 2018

Video za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni

Video za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni

Kama wafuasi wengi wa Bwana Yesu, Yu Fan aliangazia kuhusu kusoma Biblia, akaacha kila kitu ili kulipa gharama ya kuteseka kwa ajili ya Bwana, na akatafuta kumtumikia Bwana kwa ari. Alifikiri kuwa kwa kufuata imani yake kwa jinsi hii, Bwana atakaporudi bila shaka atanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni.

Jumatatu, 6 Agosti 2018

Kupitia kwa Majonzi Makuu, Nimevuna Faida Kubwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, upendo wa Mungu, Umeme wa Mashariki

Kupitia kwa Majonzi Makuu, Nimevuna Faida Kubwa

Rongguang   Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan
Baada ya kumfuata Mwenyezi Mungu, niliwekwa katika jela kwa sababu mimi niliamini katika Mungu. Wakati huo nilikuwa muumini mpya na Mungu alikuwa amenipa nguvu ili niweze shikilia msimamo katika ushahidi wangu. Hata hivyo, niliamini kimakosa kuwa nilikuwa na kimo; nilidhani kwamba nilikuwa na kiasi kikubwa cha imani, upendo na uaminifu kwa Mungu, kwa hiyo sikuzingatia hasa kula na kunywa maneno ya Mungu ya hukumu na kuadibu.