Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Asante-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Asante-Mungu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 6 Septemba 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (8) - Jinsi ya Kupata Njia ya Uzima wa Milele

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (8) - Jinsi ya Kupata Njia ya Uzima wa Milele

Kwa maelfu ya miaka waumini wa Bwana wametaka kupata uzima wa milele, lakini hakuna mtu ambaye ameweza kutimiza matamanio haya. Sasa, umechanganyikiwa kuhusu kama kweli kuna njia ya uzima wa milele au la au umechanganyikiwa juu ya jinsi unavyoweza kufuatilia hili kwa njia ambayo utapata njia ya uzima wa milele? Hii video fupi itakuambia jinsi ya kupata njia ya uzima wa milele.

Alhamisi, 9 Agosti 2018

Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu"

Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu" | Jinsi Wakristo Humtegemea Mungu Kushinda

Fang Jin ni Mkristo. Alikamatwa na serikali ya CCP kwenye mkusanyiko. Ili kumlazimisha kuwataja ndugu zake wa kike na kiume na kumsaliti Mungu, polisi walimnyima chakula, maji na usingizi kwa siku saba mchana na siku sita usiku, na kusababisha kila aina ya mateso ya kinyama juu yake: mapigo makali, kuning’inizwa, kuchuchumaa, kudhihakiwa na kufedheheshwa.

Jumatano, 8 Agosti 2018

"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (5) - Ni Vipi Kuna Makosa Ndani ya Biblia?

"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (5) - Ni Vipi Kuna Makosa Ndani ya Biblia?

    Watu wengi wanaamini kwamba Biblia yote imetiwa msukumo na Mungu, kwamba imetoka kabisa kwa Roho Mtakatifu, na kwamba hakuna hata neno moja lililo na kosa. Je, mtazamo wa aina hii unawiana na ukweli? Biblia iliandikwa na waandishi zaidi ya 40, yaliyomo yaliandikwa na kupangwa na mwanadamu, na haikufunuliwa moja kwa moja na Roho Mtakatifu.