Alhamisi, 26 Aprili 2018

51. Nilipitia Wokovu wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, ushuhuda, Umeme wa Mashariki
51. Nilipitia Wokovu wa Mungu

Cheng Hao    Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan
Kwa neema ya Mungu, mimi na mke wangu tulipandishwa vyeo hadi kwa timu ya injili ya pili ili kutimiza wajibu wetu. Muda mfupi uliopita, mke wangu alipandishwa cheo kuwa mkurugenzi wa timu, huku mimi, kutokana na kiburi changu mwenyewe na utukutu wangu, nilipoteza kazi ya Roho Mtakatifu na kupelekwa nyumbani kutafakari juu ya matendo yangu. Kutokana na kwamba mimi na mke wangu tulianza kutimiza wajibu wetu wakati mmoja, lilikuwa jambo gumu kukubali kumuona akipandishwa cheo wakati nilifukuzwa kutoka kwa wajibu wangu.

Jumatano, 25 Aprili 2018

Latest Christian Movie Swahili "Imani katika Mungu"


Latest Christian Movie Swahili "Imani katika Mungu"

Yu Congguang huhubiri injili kwa niaba ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wakati wa kuhubiri injili, aliandamwa na serikali ya Kikomunisti ya China. Alikimbia milimani, ambapo alipokea msaada kutoka kwa Zheng Xun, mfanyakazi mwenza wa kanisa la nyumba la mahali pale. Walipokutana mara ya kwanza, walihisi kama tayari walikuwa wamejuana kwa muda mrefu. Zheng Xun alimpeleka Yu Congguang kwenye kibanda cha makuti ambapo yeye na wafanyakazi wenzake walikusanyika. Huko, mjadala ulijitokeza miongoni mwa Zheng Xun na wafanyakazi wenzake kuhusu kama muumini katika Mungu anapaswa kutii wale walio madarakani au la.

Jumanne, 24 Aprili 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 40. Kuna Furaha Kubwa Katika Uaminifu

40. Kuna Furaha Kubwa Katika Uaminifu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, ushuhuda, Umeme wa MasharikiGan'en    Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui
Katika maisha yangu, siku zote nimeongozwa na msemo, "Mtu hapaswi kuwa na moyo wa kuwadhuru wengine, lakini lazima awe macho ili asidhuriwe" katika uingiliano wa kijamii. Kamwe huwa siwaridhii wengine imani yangu kwa urahisi. Daima nimehisi kuwa katika hali ambapo hujui nia za kweli ya mtu, hupaswi kuonyesha nia yako punde sana. Kwa hiyo, inatosha kuweka mtazamo wa amani—kwa njia hii unajilinda na utafikiriwa na wenzako wa rika kama "mtu mzuri."

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 38. Siri Niliyoishikilia kwa Kina Ndani ya Moyo Wangu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ushuhuda
38. Siri Niliyoishikilia kwa Kina Ndani ya Moyo Wangu

Wuzhi    Mji wa Linyi, Mkoa wa Shandong
Katika majira ya kuchipua ya mwaka wa 2006, nilinyang'anywa cheo changu kama kiongozi na nikarudishwa nilikotoka kwa sababu nilifikiriwa kuwa "bwana ndiyo" sana. Niliporejea mara ya kwanza, nilitumbukia ndani ya kikalibu cha mateso na maumivu makubwa. Sikuwahi kufikiri kwamba baada ya miaka mingi ya uongozi mambo yangeharibika kwa sababu ya kuwa "bwana ndiyo." Huu ulikuwa ndio mwisho kwangu, nilidhani, kila mtu aliyenijua angejua juu ya kushindwa kwangu na ningefanywa kama mfano mbaya katika kanisa. Ningewezaje kukabiliana na wengine baada ya haya yote? Jinsi nilivyozidi kufikiria, ndivyo nilivyozidi kuwa hasi, mpaka hatimaye nikapoteza imani ya kuendelea kutafuta ukweli. Hata hivyo, wakati nilifikiri juu ya sadaka zote na matumizi niliyoyatoa katika miaka hii michache iliyopita,

Jumatatu, 23 Aprili 2018

32. Kila Neno la Mungu ni Maonyesho ya Tabia Yake

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ushuhuda
32. Kila Neno la Mungu ni Maonyesho ya Tabia Yake

Hu Ke    Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong
Wakati wowote nilipoona maneno haya yaliyosemwa na Mungu, nilihisi kuwa na wasiwasi: “Kila sentensi Niliyoizungumza inaendeleza tabia ya Mungu. Mngefanya vizuri zaidi endapo mngetafakari kuhusu maneno Yangu kwa umakini, na kwa kweli mtafaidi pakubwa kutoka katika maneno haya.” Nilihisi kuwa na wasiwasi kwa sababu kuelewa tabia ya Mungu ni muhimu sana yote kwa ufahamu wa mwanadamu wa Mungu na kutafuta kumpenda na kumridhisha Yeye. Lakini wakati wa kula na kunywa maneno ya Mungu, siku zote nilihisi kama tabia ya Mungu ilikuwa dhahania mno, na sikujua jinsi ya kuielewa. Baadaye, kupitia kwa ushirika kutoka kwa kiongozi wangu, nilikuja kujua kwamba ni lazima nielewe kile ambacho Mungu anapenda na kile Anachokichukia kutoka kwa maneno Yake, na hivyo kuelewa tabia ya Mungu. Baadaye nilijaribu kwa muda kuweka jambo hili katika matendo na niliona matokeo. Lakini bado nilihisi kuchanganyikiwa kuhusu maneno ya Mungu, “Kila sentensi Niliyoizungumza inaendeleza tabia ya Mungu.” na sikuwa na wazo la jinsi ya kuyaelewa hasa.

Jumapili, 22 Aprili 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 30. Tafakuri kuhusu Kubadilishwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, ushuhuda, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 30. Tafakuri kuhusu Kubadilishwa

Yi Ran    Mji wa Laiwu , Mkoa wa Shandong
Wakati fulani awali, kwa sababu yangu kutoelewa kanuni iliyotumiwa na kanisa ya masahihisho ya wafanyakazi wa kanisa, wakati kanisa lilibadilisha kiongozi, dhana iliibuka ndani yangu. Kutoka kwa kile nilichoweza kuona, dada aliyebadilishwa alikuwa mzuri sana kwa kupokea na kushirikiana ukweli, na aliweza kuwa wazi juu ya maonyesho yake ya upotovu. Kwa hiyo sikuweza kujua asilani jinsi mtu fulani aliyetafuta ukweli sana angeweza kubadilishwa. Inawezekana kwamba yeye alizungumza juu ya maonyesho yake mwenyewe ya upotovu sana, na hivyo kiongozi wake kwa makosa alimchukua kuwa mtu asiyefuatilia ukweli, na kumbadilisha? Kama hili ndilo lililotokea kweli, basi si fursa ya mafunzo kwa mtu ambaye alikuwa anafuta ukweli imeangamizwa?