Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Katika-Uaminifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Katika-Uaminifu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 24 Aprili 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 40. Kuna Furaha Kubwa Katika Uaminifu

40. Kuna Furaha Kubwa Katika Uaminifu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, ushuhuda, Umeme wa MasharikiGan'en    Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui
Katika maisha yangu, siku zote nimeongozwa na msemo, "Mtu hapaswi kuwa na moyo wa kuwadhuru wengine, lakini lazima awe macho ili asidhuriwe" katika uingiliano wa kijamii. Kamwe huwa siwaridhii wengine imani yangu kwa urahisi. Daima nimehisi kuwa katika hali ambapo hujui nia za kweli ya mtu, hupaswi kuonyesha nia yako punde sana. Kwa hiyo, inatosha kuweka mtazamo wa amani—kwa njia hii unajilinda na utafikiriwa na wenzako wa rika kama "mtu mzuri."