Ijumaa, 23 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Desturi ya Sala

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, maombiKanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Desturi ya Sala
Mwenyezi Mungu alisema, Nyinyi hamtilii maanani sala katika maisha yenu ya kila siku. Watu daima wamepuuza sala.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (10)

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (10)
Mwenyezi Mungu alisema, Kwa wanadamu kuendelea mbele kiasi hiki ni hali isiyo na kigezo. Kazi ya Mungu na kuingia kwa mwanadamu vinaendelea bega kwa bega, na hivyo kazi ya Mungu, pia, ni tukio kubwa lisilo na kifani. Kuingia kwa mwanadamu hadi sasa ni ajabu ambayo kamwe haijawahi kufikiriwa na mwanadamu. Kazi ya Mungu imefikia upeo wake—na, kufuatia, "kuingia" kwa mwanadamu[1] pia kumefikia kilele chake.

Alhamisi, 22 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (8)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa MasharikiKanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (8)

Mwenyezi Mungu alisema, Nimezungumza mara nyingi sana kwamba kazi ya Mungu ya siku za mwisho ni kwa ajili ya kubadilisha roho ya kila mtu, kubadilisha nafsi ya kila mtu, ili kwamba moyo wake, ambao umeteseka sana na kiwewe, uwe umebadilishwa, hivyo kuokoa nafsi yake, ambayo imeumizwa kwa kina zaidi na Shetani; ni kwa sababu ya kuamsha roho za watu, kuyeyusha mioyo yao baridi, na kuwaruhusu kurudisha nguvu za ujana. Haya ndiyo mapenzi makubwa ya Mungu.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (9)

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (9)

Mwenyezi Mungu alisema, Tamaduni za asili na mitazamo ya kiakili madhubuti vimeweka kivuli katika roho safi na ya kitoto ya mwanadamu, vimeshambulia roho ya mwanadamu bila ubinadamu hata kidogo kana kwamba anaondolewa hisia na hali yoyote ya nafsi. Mbinu za mashetani hawa ni za kikatili kupita kiasi, na ni kana kwamba "elimu" na "malezi" vimekuwa ni njia za kitamaduni ambazo kwazo mfalme wa mashetani anamchinja mwanadamu; kwa kutumia "mafundisho yake ya kina" anafunika kabisa roho yake mbaya,

Jumatano, 21 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (2)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (2)
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi na kuingia kwenu ni duni kabisa; mwanadamu hafikirii kwamba kazi ni muhimu na hata yeye ni mzembe zaidi na kuingia. Mwanadamu haoni haya kuwa mafunzo mazuri anayopaswa kuingia ndani; kwa hivyo, katika uzoefu wake wa kiroho, kwa kweli yote ambayo mwanadamu huona ni njozi za kiajabu. Si mengi yanatakiwa kutoka kwenu kuhusu uzoefu wenu katika kazi, lakini, kama yule anayetakiwa kukamilishwa na Mungu,

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (1)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (1)

Mwenyezi Mungu alisema, Tangu watu waanze kuikanyaga njia sahihi ya maisha, kumekuwa na mambo mengi ambayo bado hayajaeleweka vizuri. Bado wapo kwenye mkanganyiko kabisa kuhusu kazi ya Mungu, na kuhusu kiasi gani cha kazi wanapaswa kufanya. Hii, kwa upande mmoja, ni kwa sababu ya kuwa na uelekeo tofauti wa uzoefu wao na mipaka katika uwezo wao wa kupokea; kwa upande mwingine,