Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake |
Jumatatu, 1 Januari 2018
Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake
Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake
Jumapili, 31 Desemba 2017
Sura ya 9. Kutafuta Mapenzi ya Mungu na Kuuweka Ukweli Katika Vitendo Kwa Kiasi Kikubwa Zaidi Iwezekanavyo
Sura ya 9. Kutafuta Mapenzi ya Mungu na Kuuweka Ukweli Katika Vitendo Kwa Kiasi Kikubwa Zaidi Iwezekanavyo |
Sura ya 9. Kutafuta Mapenzi ya Mungu na Kuuweka Ukweli Katika Vitendo Kwa Kiasi Kikubwa Zaidi Iwezekanavyo
Mwenyezi Mungu alisema, Punde tu watu wanapokuwa na haraka wakati wakiutumiza wajibu wao, hawajui jinsi ya kuuzoea; punde tu wanaposhughulika na mambo, hali yao ya kiroho inakuwa na matatizo; hawawezi kudumisha hali yao ya kawaida. Inawezekanaje kuwa hivi? Unapoombwa kufanya kazi kidogo, haufuati ukawaida, unakosa mipaka, husogei karibu na Mungu na unajitenga mbali na Mungu. Hili linadhibitisha kwamba watu hawajui jinsi ya kuwa na uzoefu. Haidhuru nini ufanyacho, unapaswa kwanza kuelewa halisi kwa nini unalifanya hili na asili ya jambo hili ni lipi.
Jumamosi, 30 Desemba 2017
Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu
Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu |
Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Kunayo mambo mengi ambayo Ninatumai mtaweza kufikia. Hata hivyo, matendo yenu na maisha yenu yote hayawezi kutimiza kwa ujumla mahitaji Yangu, kwa hiyo lazima Nilenge suala moja kwa moja na kuwafafanulia moyo na akili Zangu.
Ijumaa, 29 Desemba 2017
45. Kanuni Zangu za Maisha Ziliniacha Nikiwa Nimeharibika | Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo
45. Kanuni Zangu za Maisha Ziliniacha Nikiwa Nimeharibika | Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo |
45. Kanuni Zangu za Maisha Ziliniacha Nikiwa Nimeharibika | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Changkai Mji wa Benxi, mkoa wa Liaoning
Maneno ya kawaida "Watu wazuri humaliza wakiwa wa mwisho" ni ambayo mimi binafsi ninayafahamu sana. Mimi na mume wangu sote tulikuwa hasa watu wasio na hatia: Wakati wa masuala yaliyohusisha faida au hasara yetu binafsi, hatukuwa aina ya watu wa kubishana na kusumbuana na wengine.
Changkai Mji wa Benxi, mkoa wa Liaoning
Alhamisi, 28 Desemba 2017
Mungu ni Mungu | “Zingatia Majaliwa ya Binadamu” Swahili Christian songs
Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song
Zingatia Majaliwa ya Binadamu
Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,
ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu,
kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni.
Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha.
ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu,
kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni.
Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha.
Jumanne, 26 Desemba 2017
27. Ni Nini Husababisha Uongo | Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo
27. Ni Nini Husababisha Uongo | Kanisa la Mwenyezi Mungu |
Kila mara nilipoona neno la Mungu likituomba kuwa watu waaminifu na kuzungumza kwa usahihi, niliwaza, “Sina tatizo na kuzungumza kwa usahihi. Si ni kusema tu kitu jinsi kilivyo na kusema mambo jinsi yalivyo? Je, hiyo si rahisi? Kilichokuwa kimenikera zaidi daima katika dunia hii walikuwa watu waliotia chumvi walipozungumza.”
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)