Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo watu-waaminifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo watu-waaminifu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 26 Desemba 2017

27. Ni Nini Husababisha Uongo | Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
27. Ni Nini Husababisha Uongo | Kanisa la Mwenyezi Mungu
27. Ni Nini Husababisha Uongo | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Xiaojing Jijini Heze, Mkoani Shandong
Kila mara nilipoona neno la Mungu likituomba kuwa watu waaminifu na kuzungumza kwa usahihi, niliwaza, “Sina tatizo na kuzungumza kwa usahihi. Si ni kusema tu kitu jinsi kilivyo na kusema mambo jinsi yalivyo? Je, hiyo si rahisi? Kilichokuwa kimenikera zaidi daima katika dunia hii walikuwa watu waliotia chumvi walipozungumza.”