Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo hatima-ya-wanadamu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo hatima-ya-wanadamu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 28 Desemba 2017

Mungu ni Mungu | “Zingatia Majaliwa ya Binadamu” Swahili Christian songs


Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song

Zingatia Majaliwa ya Binadamu
Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,
ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu,
kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova,
kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni.
Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha.