Jumatano, 8 Novemba 2017

Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi

Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi

Mwenyezi
Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi
Mfalme mwenye ushindi amekuwa ameketi kwenye kiti kitukufu cha enzi.
Amekamilisha ukombozi, akiongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu.

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake |  Kanisa la Mwenyezi Mungu

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kwanza, hebu na tuuimbe wimbo wa kumsifu Mungu: Wimbo wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka katika Ulimwengu Kisaidizi ala cha muziki: Watu wanashangilia Mungu kwa furaha,

Toeni Nyimbo za Sifa kwa Mungu | Muziki wa Akapela "Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote"

Toeni Nyimbo za Sifa kwa Mungu | Muziki wa Akapela "Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote"

Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote
La … la la la … la la la….

Swahili Christian Movie Trailer | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"

Swahili Christian Movie Trailer | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini.

Jumanne, 7 Novemba 2017

Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili

Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kila hatua ya kazi iliyofanywa na Mungu ina umuhimu wake mkubwa. Yesu alipokuja zamani, Alikuwa mwanaume, lakini Mungu anapokuja wakati huu Yeye ni mwanamke. Kutokana na hili, unaweza kuona kwamba Mungu aliwaumba mwanaume na mwanamke kwa ajili ya kazi Yake na Kwake hakuna tofauti ya jinsia. Roho Wake anapowasili, Anaweza kuchukua mwili wowote kwa matakwa Yake na mwili huo unaweza kumwakilisha Yeye.

Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu Kwa Ukweli

Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya siku za mwisho ni kutenganisha vitu vyote kulingana na jinsi yavyo, kuhitimisha mpango wa usimamizi wa Mungu, kwa maana muda u karibu na siku ya Mungu imewadia. Mungu huwaleta wote ambao wameingia katika ufalme Wake, yaani, wale wote ambao wamekuwa waaminifu Kwake mpaka mwisho, katika enzi ya Mungu Mwenyewe.