Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili |
Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Kila hatua ya kazi iliyofanywa na Mungu ina umuhimu wake mkubwa. Yesu alipokuja zamani, Alikuwa mwanaume, lakini Mungu anapokuja wakati huu Yeye ni mwanamke. Kutokana na hili, unaweza kuona kwamba Mungu aliwaumba mwanaume na mwanamke kwa ajili ya kazi Yake na Kwake hakuna tofauti ya jinsia. Roho Wake anapowasili, Anaweza kuchukua mwili wowote kwa matakwa Yake na mwili huo unaweza kumwakilisha Yeye.