Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo hekima-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo hekima-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 2 Mei 2019

26. Kazi ya Mungu Ni ya Hekima Sana

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

26. Kazi ya Mungu Ni ya Hekima Sana

Shiji Jiji la Ma’anshan, Mkoa wa Anhui
Wakati wa kufanya kazi kwangu kama kiongozi katika kanisa, kiongozi wangu mara nyingi angeshirikiana mifano ya kushindwa kwa wengine ili kutumikia kama somo kwetu. Kwa mfano: Viongozi wengine walizungumza tu kuhusu elimu na mafundisho lakini walikosa kutaja upotovu wao au kuwasiliana kwa karibu kuhusiana na ufahamu wao wa jinsi ukweli unavyotumika kwa ukweli. Kama matokeo, hawakuweza kufanya kazi ya utendaji, wakigeuka kuwa viongozi wa uwongo wa kubadilishwa.

Jumamosi, 23 Machi 2019

Matamshi ya Kristo | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VIII

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ukweli

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VIII

Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (II)

Tuendelee na mada ya mawasiliano ya wakati uliopita. Je, mnaweza kukumbuka ni mada gani tuliwasiliana wakati uliopita? (Mungu Ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote.) Je, "Mungu Ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote" ni mada mnayohisi ikiwa mbali sana nanyi? Je, una ufahamu wowote wa juujuu kuhusu jambo hilo? Mtu fulani anaweza kuniambia wazo kuu la mada hii tuliyowasiliana wakati uliopita? (Kupitia kwa uumbaji wa Mungu wa vitu vyote, ninaona kwamba Mungu hulea vitu vyote na hulea wanadamu.

Ijumaa, 22 Machi 2019

Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III” Sehemu ya Pili

Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III” Sehemu ya Pili

Mwenyezi Mungu anasema, “Hakuna kizuizi chochote katika kazi Yake na kile Anachokifanya, na haitawekewa kizuizi chochote na binadamu yeyote, kitu chochote, au kifaa chochote, na haitakatizwa na nguvu zozote za kikatili.

Jumamosi, 27 Oktoba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Mia Moja na Kumi na Tatu

Mwenyezi Mungu anasema, " Kila kitendo Ninachokifanya kina hekima Yangu ndani yake, lakini mwanadamu hawezi kukielewa kamwe; mwanadamu anaweza tu kuona matendo Yangu na maneno Yangu, lakini hawezi kuuona utukufu Wangu, au kuonekana kwa nafsi Yangu, kwa sababu mwanadamu hasa anakosa uwezo huu. Chini ya hali ya kutombadilisha mwanadamu, wazaliwa Wangu wa kwanza nami tutarejea Sayuni na kubadili sura, ili mwanadamu aweze kuiona hekima Yangu na kudura Yangu.