Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maonyesho-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maonyesho-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 1 Februari 2019

Maonyesho ya Mungu | “Wewe U Mwaminifu kwa Nani?” (Official video)

Maonyesho ya Mungu | “Wewe U Mwaminifu kwa Nani?” (Official video)

    Mwenyezi Mungu anasema, “Mmekuwa wafuasi Wangu kwa miaka mingi sana, lakini hamjawahi kunionesha hata chembe ya uaminifu. Badala yake mmekuwa mkizunguka kwa watu mnaowapenda na vitu vinavyowapendeza sana, na kuviweka karibu na mioyo yenu na havijawahi kuachwa, wakati wowote, mahali popote. ...

Ijumaa, 4 Januari 2019

Maonyesho ya Mungu | "Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu"

Maonyesho ya Mungu | "Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu"

    Mwenyezi Mungu anasema, "Sababu mwanadamu hana ufahamu wa umuhimu wa Mungu kumwokoa na umuhimu wa kazi ya usimamizi wa Mungu, na hafahamu jinsi Mungu Anavyotamani zaidi wanadamu wawe. Je, ni wanadamu mfano wa Adamu na Hawa, wasiopotoshwa na Shetani? Hapana!

Ijumaa, 14 Desemba 2018

Maonyesho ya Mungu | "Ni Wale tu Wanaomjua Mungu na Kazi Yake Ndio Wanaoweza Kumridhisha Mungu"

Maonyesho ya Mungu | "Ni Wale tu Wanaomjua Mungu na Kazi Yake Ndio Wanaoweza Kumridhisha Mungu"

    Mwenyezi Mungu anasema, "Kuamini katika Mungu na kutafuta maarifa ya Mungu si jambo rahisi. Hayawezi kupatikana kwa kukusanyika pamoja na kusikiliza mahubiri, na huwezi kukamilishwa kwa kupenda tu. Lazima upitie uzoefu, na ujue, na kuongozwa na kanuni katika matendo yako, na kupata kazi za Roho Mtakatifu.