Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumcha-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumcha-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 1 Mei 2019

22. Mbona Ujihusishe na Hila Unapomtumikia Mungu

22. Mbona Ujihusishe na Hila Unapomtumikia Mungu

Hu Qing Jijini Suzhou, Mkoani Anhui
Nilipoona maneno ya Mungu yakisema: “Wale ambao huhudumu kama viongozi daima hutaka kuwa na ubunifu mkubwa, kuwa wazuri kuliko wengine, kupata hila mpya ili Mungu aweze kuona jinsi kweli walivyo na uwezo. … Wao daima hutaka kuringa; si huu ni ufunuo kwa usahihi wa asili ya kiburi?” (“Bila Ukweli Ni Rahisi Kumkosea Mungu” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo), Nilifikiri mwenyewe: Nani ana ujasiri kama huo kujaribu kupata ujanja mpya ya ubunifu?

Jumamosi, 30 Machi 2019

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, kumwabudu Mungu,

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI

Utakatifu wa Mungu (III)

Mnahisi vipi baada ya kusema sala zenu? (Tunafurahia na kuguswa sana.) Wacha tuanze ushirika wetu. Tulishiriki mada ipi wakati uliopita? (Utakatifu wa Mungu.) Na ni kipengele kipi cha Mungu Mwenyewe kinahusisha utakatifu wa Mungu? Je, kinahusisha kiini cha Mungu? (Ndiyo.) Kwa hivyo ni nini hasa mada inayohusiana na kiini cha Mungu? Je, ni utakatifu wa Mungu? (Ndiyo.) Utakatifu wa Mungu: hiki ni kiini cha kipekee cha Mungu.

Ijumaa, 19 Januari 2018

Sura ya 32. Ni Watu wa Aina Gani Watakaoadhibiwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Sura ya 32. Ni Watu wa Aina Gani Watakaoadhibiwa | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Kukufuru na kashfa dhidi ya Mungu ni dhambi ambayo haitasamehewa kwa enzi hii na enzi ijayo na wale wanaofanya dhambi hii hawatazaliwa upya kamwe. Hili linamaanisha kwamba tabia ya Mungu haiwezi kuvumilia kosa la wanadamu. Watu wengine wanaweza kusema maneno yasiyofaa au maneno mabaya wakati hawaelewi, au wanapodanganywa, kuwekewa vikwazo, kudhibitiwa, au kukandamizwa na wengine. Lakini wanapokubali njia ya ukweli katika siku zijazo watajawa na majuto.

Alhamisi, 9 Novemba 2017

Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu

Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu

Mwenyezi Mungu alisema: Kila mmoja anapaswa kuchunguza maisha yake upya ya kumwamini Mungu ili kuona iwapo, katika kumtafuta Mungu, ameelewa kwa dhati, amefahamukwa dhati, na kuja kumjua Mungukwa dhati, iwapo anajua kweli ni mawazo gani Mungu Anayo kwa aina tofauti za binadamu, na iwapo kweli anaelewa kile ambacho Mungu Anafanya juu yake na jinsi Mungu Anaeleza kila tendo lake.